Recent content by Reine

  1. R

    JamiiForums Tanzania Mbowe atangaza Vita na Zitto katika Vikao vya ndani vya Chama

    ni std iv pekee anayeweza kuwa na uhakika na jambo alaf aseme 'This is a war'.... kwa lugha ya malkia ukishakuwa na uhakika na jambo unasema the ...kwa 'a'
  2. R

    JamiiForums Tanzania Nauza au naweza badilishana na mtu hii gari?

    mkuu kama haujaitumia huwezi kuhamini ila ndio ivo. Sio kuwa ni exactly kwa kuwa sikuset stop watch wala vipi ila ilikuwa around izo estimates Subaru Subaru Legacy Specifications - Engine and Transmission. Subaru Legacy Engine: The Hatchback version of the Legacy model has a 1998...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Nauza au naweza badilishana na mtu hii gari?

    mkuu jipinde iyo legacy B4 ni balaa , ni gari ndogo ila inafanya maajabu barabarani!! Mkuu ukiamua kuitafuta, tafuta ya 2006 model and above!! Pia iwe automanual, cc1990 you will never regret. Kwa kweli nimetumia ivi gx 100 , 110 ,corola na pajero, kwa class ya izi gari ndogo subaru legacy b4...
  4. R

    JamiiForums Tanzania Nauza au naweza badilishana na mtu hii gari?

    inafuatana na gari mkuu, nina pajero ya cc1000 inakula km7 kwa litre na nina legacy ya cc1990 inakula kwa km13 kwa litre wakati 4.6 HSE nayo cc4550 inakula km8 kwa litre.... zipo sababu nyingi za kuwa ivo mkuu!
  5. R

    JamiiForums Tanzania Nauza au naweza badilishana na mtu hii gari?

    mkuu una masharti gani nikikupa hii, legacy sport cc1990 2006 automanual , ina fuel consumption ya km 13 kwa litre, ni double exhaust smooth sound, ni nzuri sana na haina kasoro yoyote, na kwa speed ni balaa, ni 4hours drive dar to arusha!! mkuu nipm tutete maana iyo uku kwetu ndio inanifaa!!
  6. R

    JamiiForums Tanzania EWURA wapunguza Bei ya Mafuta: Petrol kuuzwa 1,653; Diesel Kuuzwa 1,523/=

    iyo bado, duniani yameshuka kwa asilimia 50 , sasa Tanzania asilimia hamsini ya 2100 au 2200 ni 1500+??? Izi hesabu zetu hazijakaa poa zina siasa nyingi mno.
  7. R

    JamiiForums Tanzania Nahisi kama NMB Wanataka kuniimbia tsh 400,000.

    mkuu njia nyingine tofauti na subira, ni kuwa mvumilivu. mitandao ya mpesa nk nk ndio inakuwa imepatwa na shida ivo kushindwa kukamilisha transaction, ila ndani ya 24 system uwa zinafanya reconciliation na then kususpend mihamala batili, ivo itabidi wabatlishe huo muhamala na kurudisha hela kwa...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Mbowe sasa avuka mipaka, afanya matumizi ya gari la serikali kwa shughuli za CHADEMA

    gari imeandikwa KUB ina maana kuwa ni gari ya kufanyia siasa. Kwa Tanzania yote kiongozi pekee aliyepewa gari ya kufanyia siasa ni kiongozi wa kambi rasmi ya wapinzani.
Back
Top Bottom