Recent content by regycross

  1. R

    JamiiForums Tanzania Tarehe ya kuripoti kwa waalimu wapya

    Hapa kuna interest za watuu wengine hawajapenda walipopangiwa soo wanatamanii mabadiliko ilii wapangwe kwingine amna aliyekwambia Ajira zimesitishwa wameondoa Tangazo kwa muda wametumia miezi miwili kupanga asaa iwe vip upangwe Mbeya kesho teena wakupange Tanga andaa safari nenda karipoti...
  2. R

    JamiiForums Tanzania MWALIMU: Uliza kuhusu kituo ulichopangiwa

    Ndugu yangu mimi pia nimepangiwa moshi na nimetembea maeneo mengi Tanzania moshi kuna kila kitu maji na umeme wa uhakika embu shukuru Mungu kuna watu wamepangiwa sehemu hata kupata mishahara ni tabu afuu jifunze kuishi popote usipende sana kwenuu
  3. R

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Walimu na Mafundi Sanifu Maabara Ajira Mpya

    Tuwekee iyoo list ndugu
  4. R

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Walimu na Mafundi Sanifu Maabara Ajira Mpya

    Daah huku kupeana presha page ganii zinagoma kufunguka asee
  5. R

    JamiiForums Tanzania Orodha ya Walimu na Mafundi Sanifu Maabara Ajira Mpya

    Asee hilo file halifunguki kabisa
  6. R

    JamiiForums Tanzania TAMISEMI kuachia mzigo usiku

    Watuu presha utafikiri tumefojii vyetuu embu serikali itoe ayoo majina itaua watu na presha
  7. R

    JamiiForums Tanzania Miguu ya wanawake

    Labda tumuulize diamond kwa Zari alfataa miguu amaa
Back
Top Bottom