Inakuwaje hakuna kijana hata mmoja!! Waliopo ni wazee tu!! Ni kweli kwamba tunawahitaji kina baregu, Ramadhani, Butiku na Salim! Wamefanya mambo makubwa sana kwa taifa hili na mimi binafsi ninawakubali sana lakini wapi vijana?!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.