MWIGULLU nCHEMBA BAADA YA KUSHINDWA KWA UGAIDI DHIDI YA LWAKATARE SASA ANATAFUTA NJIA YA KUJISAFISHA,
JE HUU NI UKAME WA AKILI AU AMEKUWA MUFLISI WA SERA??????????????????
Jimbo la Moshi vijijini ni moja ya majimbo hapa Tanzania ambayo hayajawahi kupata mwakilishi anayejitambua.Ninasema hivi nikiwa timamu kabisa kutokana na huyu Mbunge kuwa bubu bungeni kiasa kwamba maendele jimboni kwake ni bubu.
Alipochaguliwa aliahidi mengi kama ajira kwa vijana ambapo baada...
Huyu kijana ni muhuni, mkame wa akili, mwongo na mpyaro. Amesahau kazi ya wananchi na kubaki kufanya siasa upyaro na uchware bungeni.Mimi nilishangazwa siku moja alipopinga kuwa walimu hawafanyi biashara mashuleni ilhali wanafanya ili kujikimu kimaisha kutokana na kipato chao kidogo.
Hivi...
Hawa ni aina ya viongozi ambao ni wachochole kifikra na hudhani kuwa mabavu ndio kila kitu lakini sasa amekanyaga pabaya.Hajui kuwa hapo ni Arusha?
Namsihi ajivua ukuu wa mkoa arejee kwenye kazi yake ya Utarishi Posta.
HAYA NDIO MATATIZO YA KUBEBANA-KWANI ALIKUWA TARISHI POSTA MBEYA HADI MKUU...
Kamanda Lema fungua kesi.Hii si kesi ya kupuzia maana ni ya wazi kuwa viongozi wa serikali wanatumika kisiasa.Hiyo video iwekwe wazi na SMS iliyojaa ushaidi wa ubambikiziaji kesi.Nawasihi Chadema waanzie hapa maana huu ndio utakuwa mwanzo wa kuijuza jamii juu ya mikakati ya wazi ya MAGAMBA dhidi...

JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.