Recent content by Regia Mtema

  1. Regia Mtema

    Tunakusanya Kero ambazo ungependa zisemewe Bungeni na Nje ya Bunge na Viongozi wa CHADEMA

    Pole!wenzio ndio tunasonga hivyo...Wanaofahamu Kiswahili vizuri wamenielewa na wamechangia hoja zao hapa.
  2. Regia Mtema

    Tunakusanya Kero ambazo ungependa zisemewe Bungeni na Nje ya Bunge na Viongozi wa CHADEMA

    Ha ha ha!Umenichekesha.Kuna Siri katika Shukrani Mkuu,Mbwembwe nazo ni muhimu vile vile ni katika kunogesha Hotuba...Anyway limepokelewa na litafikishwa mahali husika.
  3. Regia Mtema

    Tunakusanya Kero ambazo ungependa zisemewe Bungeni na Nje ya Bunge na Viongozi wa CHADEMA

    Mkuu.Nakubaliana na hoja zako ila hii ya Serikali kutomiliki Magari,ooh no!Gharama za Kukodi Magari kwa Siku ni kubwa kuliko kuweka Mafuta.Zipo njia za kuzila matumizi mabaya ya mafuta.Serikali haiwezi kuacha kumiliki Magari kwa hoja hiyo!
  4. Regia Mtema

    Tunakusanya Kero ambazo ungependa zisemewe Bungeni na Nje ya Bunge na Viongozi wa CHADEMA

    Asante sana Mkuu!Moja la Hesabu kwa ndugu zetu wasioona liliulizwa Bunge lilipita na Mhe Magreth Mkanga ila sikuridhika na majibu ya Naibu Waziri wa Elimu na bahati mbaya sikupata nafasi ya kuuliza swali la nyongeza. Mengine yote ni Mapya kwangu, TAKEN! Wish You all the best!
  5. Regia Mtema

    Tunakusanya Kero ambazo ungependa zisemewe Bungeni na Nje ya Bunge na Viongozi wa CHADEMA

    "Mbowe for Presidency 2015 usikubali Rais aliyewahi kuwa Padre na katibu wa TEC"" Hii signature yako unamaanisha nini?Dr Slaa anawanyima usingizi eeh?Hamuwezi kuwagombanisha Mbowe na Dr Slaa hata mfanyaje!halafu kwa taarifa yenu wanajua mipango yenu yote .....
  6. Regia Mtema

    Tunakusanya Kero ambazo ungependa zisemewe Bungeni na Nje ya Bunge na Viongozi wa CHADEMA

    Mkuu nimeipenda sana hii hoja ila number of days ndio sikubaliani nazo..Is viable kweli for let say President,awe Na only 30days out of 365?sidhani kama tutajitaendea haki nchi yetu..Mi nadhani tungeongexa kidogo number of days..
  7. Regia Mtema

    UK yaichambua Tanzania, yaishangaa na kuibeza, tunaongoza kuombaomba kama nchi zilizokuwa vitani

    Nchi ombaomba huzaa Wananchi ombaomba.Pamoja na Mishahara bado watu wanaomba eti hata Wabunge huomba kwa waliowazidi kifedha.Kumbe tumerithi toka kwa Wakuu wetu wa nchi...NI AIBU!
  8. Regia Mtema

    Tunakusanya Kero ambazo ungependa zisemewe Bungeni na Nje ya Bunge na Viongozi wa CHADEMA

    swali kwa Mh.Mume wangu yeye alikuwa mbunge lakini alinikataza mimi kuwa Mbunge hasa kwa viti maalum,nilimuhoji lkn alikataa kunipa undani.lkn niligundua ni Wivu alionao baada ya kuishi sana Bungeni na kuona mengi. jee unatwambiaje dada kwa hili? Kumbe umekuwa Mwanamke Siku hizi?Na hivyo...
  9. Regia Mtema

    Tunakusanya Kero ambazo ungependa zisemewe Bungeni na Nje ya Bunge na Viongozi wa CHADEMA

    WC,Kilombero ina Wabunge 4,Vitimaalum 3, Suzan Kiwanga-CHADEMA,Getrude Lwakatare-CCM,Regia Mtema-CHADEMA na huyo mwingine wa Jimbo.
  10. Regia Mtema

    Tunakusanya Kero ambazo ungependa zisemewe Bungeni na Nje ya Bunge na Viongozi wa CHADEMA

    Wakuu habari! Nimatumaini yangu kuwa tunaendelea vizuri na majukumu yetu ya kila Siku. Nimeamua kuanzisha Uzi huu kwa lengo la kukuza ya kero,maoni,ushauri na chochote toka kwenu ili tuweze kuyasimamia ndani na nje ya Bunge.Kwa kutambua kuwa wanaJF wamesambaa kila...
Back
Top Bottom