Recent content by rega

  1. rega

    JamiiForums Tanzania Mrisho Gambo ageuka mbogo kusuasua kwa ujenzi wa barabara ya Engosheratoni jijini Arusha

    Vipi kuusu barabara ya lemara, hakuna chochote kinachoendelea
  2. rega

    JamiiForums Tanzania Dodoma City vs Arusha City (The Battle of Tanzania Capital City vs EAC Capital City)

    Kiukweli, kwenye majengo mengi makubwa arusha imeizidi mwanza, kumbi za mikutano pia, ukiachana na dar, arusha inafata kwa hoteli nyingi, pia shopping malls mwanza mnayo moja , arusha zipo tatu na zote ni za private owners, istoshe population ya arusha cc, ni kubwa compared na ya nyamagana,
  3. rega

    JamiiForums Tanzania Mwanza inarudi nyuma huku Arusha ikiendelea

    Hio kitu aiwezekani, after dar zinakuja mwanza and arusha, dodoma imekua jiji juzi tu, arusha na mwanza ni majiji ya mdaa na yameendelea
Back
Top Bottom