Recent content by Redrose20

  1. R

    JamiiForums Tanzania Hormonal imbalance

    Habari, wana forum jamani. Naomba mnisaidie hili tatizo linaishije, nilienda hospital nikaambiwa nina hormone imbalances kwasababu nahitaji sana mtoto. Msaada wenu wapendwa.
  2. R

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nina tatizo la kutokwa na majimaji sehemu za siri

    Wahi hosptl..yaweza kua magonjwa ya zinaa.
  3. R

    JamiiForums Tanzania Msaada: Nina tatizo la kutokwa na majimaji sehemu za siri

    Kijana wa kike au wakiume?
  4. R

    JamiiForums Tanzania Hormonal imbalance

    Asante mamii kwa ushaur..nahis kuchanganyikiwa na hili tatizo ila Mungu yupo naamin atanitetea.
  5. R

    JamiiForums Tanzania Hormonal imbalance

    Asante kwa ushaur,ntafanya hv!
  6. R

    JamiiForums Tanzania Hormonal imbalance

    hapana ckuambiwa ni hormone gan haikubalance,ila nimekua na irregular periods ss hapo cjui itakua hormone gn haikubalance
  7. R

    JamiiForums Tanzania Hormonal imbalance

    Asanten,ckuambiwa ni hormone gan hazikubalance bt nimeambiwa nna hormone imbalance na kuna dawa nimeandikiwa ila bdo cjachukua inahitajika laki mbili na 60 ndo najipanga nikachukue nilienda kwa dr.mwaka pale ilala bungoni..cku zangu zimekua irregular sn nilivyoambiwa hv niliogopa sn,bt now at...
  8. R

    JamiiForums Tanzania Hormonal imbalance

    Hbr zenu,naomba kujuzwa kuhusu hormone imbalances..nilienda hosptl kupimwa nikaambiwa nna hyo kitu ktk swala zima la uhitaji wa mtoto..kwa anaejua nn kisababishi cha hormone kua hv kuna uhusiano wowote na upevushaji wa mayai?
  9. R

    JamiiForums Tanzania Kupotea kwa hedhi 4 years

    Mmh,nenda tu kwa wataalam
  10. R

    JamiiForums Tanzania Njia ya mkojo inawasha

    Wahi hospital,chek na UTI
  11. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kitu kimerushwa iko, kikuuma jirekebishe mwanamke

    Yamekukuta c bure!mmh hatari..
  12. R

    JamiiForums Tanzania Ujauzito miezi 9

    Pole sn!
  13. R

    JamiiForums Tanzania Asanteni wote kwa ushauri wenu, Nimefanikiwa kupata ujauzito

    asante,ntatumia next period mana tangu nimalize leo cku ya 7 xo nimechelewa,nilianza trh19.
  14. R

    JamiiForums Tanzania Asanteni wote kwa ushauri wenu, Nimefanikiwa kupata ujauzito

    inapatikana wap hiyo dawa?pharmacy au..matumizi yake je?unakunywa kwa siku ngap?tafadhal.
  15. R

    JamiiForums Tanzania Asanteni wote kwa ushauri wenu, Nimefanikiwa kupata ujauzito

    ni dawa gan mmetumia wapendwa,naomba kujuzwa nahitaj pia.
Back
Top Bottom