Recent content by Redpanther

  1. Redpanther

    JamiiForums Tanzania Kwa kweli JamiiForums siyo ya mchezo hata kidogo!

    Anonymity is Power and Freedom
  2. Redpanther

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ajiuzulu

    Kila la Kheri Ndg na Balozi Dkt. Nchimbi. Tunashukuru kwa Utumishi wako. Kila la Kheri kwenye Maisha mapya ya ustafu
  3. Redpanther

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu hawataki kulipia huduma za kuzaa na kwanini Serikali inakubali huu ujinga?

    Wanalalamika kwa Sababu Serikali ndio ilisema watu wa Umri Huo au Rika huko watibiwe Bure kama ujuavyo ahadi ni deni wananchi wanadai haki yao
  4. Redpanther

    JamiiForums Tanzania Kero: Utumishi kuweka Urasimu Kwenye Mchakato wa Watumishi Kutoka Kituo kimoja Kwenda Kituo Kingine (Mkoa Mwingine)

    Habari za Wakati Wanajamvi Mimi ni mtumishi Katika Halmashauri X Niko Chini ya TAMISEMI. Kuna Changamoto na Sijui kama Ndio kutuzuga Kwamba mnaruhusu watu kuhama ikiwa tu amekudhi vigezo vya Kubadili Kituo. Mwaka Jana 2025, Utumishi ilianzisha Mfumo wa ess-utumishi ikiwa na lengo kuhakikisha...
  5. Redpanther

    JamiiForums Tanzania Unawezaje kuishi na mwanamke asiye na utii

    Ni rahis kusema ila kwenye kujizuia usipatwe na hasira kwa Mwanamke ambaye anaona kushindana na wewe ndio njia pekee ya kuongea nawe.!? Mimi siwezi vumilia na Mwanamke mshindani. Naelewa kuwa yeye ni mtu mzima na tunatofautiana katika kuyaona mambo (perception) ila Hata weza kujishusha tutafikia...
  6. Redpanther

    JamiiForums Tanzania Ni wazi JF Wameonewa ila wameamua kutii

    Kuna shida kubwa sana, Kama Taifa
  7. Redpanther

    JamiiForums Tanzania Ukila mua Bar nini kinatokea ??

    Fafanua Mkuu, Hii inahusianaje sasa na nilichosema mimi
  8. Redpanther

    JamiiForums Tanzania Ukila mua Bar nini kinatokea ??

    😂😂😂😂😂😂😂
  9. Redpanther

    JamiiForums Tanzania Ukila mua Bar nini kinatokea ??

    😅😅😅
  10. Redpanther

    JamiiForums Tanzania Ukila mua Bar nini kinatokea ??

    Sasa Mimi kula miwa alfu nikaagiza Kinywaji kuna ubaya.
  11. Redpanther

    JamiiForums Tanzania Ukila mua Bar nini kinatokea ??

    Nimeambiwa hawaruhusu mtu Kula miwa kwenye Bar yao na sababu ni hiyo hiyo niliyoandika.
Back
Top Bottom