Hebu muache mkeo endelea na mama J Kwa miaka miwili tu-proove if you are correct.. maana hapo nimeelewa kuwa Una Mke na mchepuko na mafanikio hayo yamekuja wote wakiwepo
Umenisikitisha Sana ndugu, hiyo Tabia yako umekuwa ukilitia Gari mikosi, ukijapata Ajali Za Wenge usishangae, hata gesti ya buku Tatu imekushinda???, haya sasa chupi kwenye Gari Na mkeo kaiona ni Sawa Na hiyo chupi kukutwa chumbani kwako Na mkeo... Achana Na hizo Tabia Na jaribu Kubaki njia...
Wakili wa Serikali Abdallah Chavula: Ikupendeze mheshimiwa jaji, tumesikikiza mapingamizi kutoka kwa wenzetu wa utetezi kuhusu upokelewaji wa kielelezo hiki. Kiujumla sisi hatukubaliani nao, hayana muunganiko na kilichopo na kwamba tulichokifanya, kwa maoni yao hatujui tunafanya nini na kwa...
"On BBC HardTalk he talked about the President’s failure to finance his treatment. First of all, this is not a matter to be dealt by the President but Parliamentary procedures. The President finances no one to have treatment but Parliamentary or Government procedures." Ile milioni 50...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.