Tawheed, kizota sure na kizota best, fikiria kwanza, ngasu ya vome (nyuma imeandikwa roho ya paka), fresh ya shamba, air shengena na air msae (hizi zilichinja sana)bazzu, islam, takrim,tawfiq (nyuma imeandikwa tokyo ingine kyoto) zilikuwa zinapga route ya dar-ars, tanga-ars.