Kama idadi ni wanachama 5,000,000 basi hiki nichama kinacho weaza kujindesha vizuli kama kikipata uongozi unaoaminika kwa wanachama kwani endapo nusu ya wanachama watachangia kiwango cha chini cha kadi yani tsh 2500 kwa mwaka zitapatikana zaidi ya bilion 6.2 kwa mwaka kiasi ambacho nikikubwa sana.
Nimemsikia mjumbe wa kamatikuu Ya Chama cha Democrasia na Maendeleo (CHADEMA) Na mwenyekiti wa kanda ya Victoria, Mh Ezekiel Wenje akiwa Wasafi kwenye kile kipindi kinacho muogopa Tundu Lisu, akijalibu kuhadaa wananchi kua Chadema hawana pesa zakutosha kuendesha shughuli zao za kisiasa nchi...
Nikiwa kama mfatiliaji mkubwa wa mambo ya kisiasa nchini ningepeda pia nitoe ushauli kwa Mwenyekiti CHADEMA Tanzania Mh Freeman Mboe, huu ndo wakati sahihi wakupumzika majukumu makubwa ya uenyekiti.
Ikumbukwe mpaka sasa wewe ndo Kiongozi bola zaidi wa nafasi hiyo kwa vyama vyaupinzani...
Kuelekea Siku ya vijana Duniani Chama Cha Democrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimepanga kufanya mkutano mkubwa Jijini Mbeya, katika hali ya kushangaza Jeshi la Polisi Nchini limetangaza kuzuia Mkutano huuo Ambapo wamekuja na hoja dhaifu kua matamko ya viongozi yanaleta taharuki.
Pia...
Ndugu zetu Waislamu mmekua hameleki hasa na mafunzo ya hao vijana katika maeneo mengi wenye umli wakua shuleni wamekua wakikusanywa na kupewa hayo mafunzo sasa sijui yanawasaidia nini nivema mnge waacha watoto hao wakapata masomo na kujitengenezea maisha, Niliwaona vijana kama hao msikiti wa...
Kwa mahakama hizi za kupokea maelekezo hakuna la maana litakalofanyika, na hii inakuwa inawakatisha tamaa Police yaani wao wanawakamata watuhumiwa halafu mahakimu ndo wanapokea pesa na kujaza mitumbo yao, lakini pia hata kipindi hiki cha utawala wa mwanamke, wanawke bado waendelee kunyanyasika?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.