Recent content by red carpet

  1. R

    JamiiForums Tanzania Vita dhidi ya Rais Samia ni personal issue. Haina mashiko yoyote, Mtanzania usiingie mkenge

    Nimepoteza muda wangu kufungua huu uzi ila nimeona pumba juujuu nikaishia hapo.
  2. R

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu Kuongea na Waandishi wa Habari Makao Makuu ya Chama

    Mbona hujataja muda wala saa?
  3. R

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu Kuongea na Waandishi wa Habari Makao Makuu ya Chama

    Wasiojulikana wakijiliwaza kuwa hawatajulikana. Kuwa mpole jina lako litakuwa wazi muda wowote Watanzania wakufahamu
  4. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Yaliyojiri kwenye Maandamano ya CHADEMA 23/9/2024

    Dah! Hiyo kaicheza vizuri
  5. R

    JamiiForums Tanzania Tetesi: MAANDAMANO 23/09: Viongozi 23 wa CHADEMA Kata ya Bunju wamekamatwa na jeshi la polisi wakiwa kikao cha ndani

    Hivi ni kweli hata kama hazitoshi unasapoti wasiojulikana waendelee kuwachukua Watanzania wenzetu hata kama tumbo lako linashibishwa na wasiojulikana?
  6. R

    JamiiForums Tanzania Maelfu wamiminika kuchukua Udongo mtakatifu huko Arusha kwa mtume Mwamposa

    Tanzania bado tuna safari ndefu
  7. R

    JamiiForums Tanzania Mbowe: Mkisikia nimepigwa risasi iombeeni roho yangu ipumzike mahali pema peponi. Ninyi songeni mbele"

    Wewe Bibi kizee ndo mmoja wa wanufaika wa WASIOJULIKANA?
  8. R

    JamiiForums Tanzania Simba ikishinda Leo dhidi ya Al ahly tripoli nipigwe ban

    Halali yake
  9. R

    JamiiForums Tanzania Simba ikishinda Leo dhidi ya Al ahly tripoli nipigwe ban

    Mods mko wp? Piga ban mtu. Mtoto kalilia wembe
  10. R

    JamiiForums Tanzania Nilivyoelewa hotuba ya Rais Samia kwenye maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Polisi

    Unataka awataje mara ngapi?
  11. R

    JamiiForums Tanzania Ningekuwa ni Mmoja wa viongozi wa CHADEMA muda huu ningekuwa mpakani

    Wanufaika wa wasiojulikana
  12. R

    JamiiForums Tanzania Hii kauli ya "Kifo ni Kifo tu" kutoka kwa Rais Samia imekaaje?

    Kauli mbiu inapaswa kuwa "nilinde nami nikulinde dhidi ya wasiojulikana" kila mtu awe tayari kwa lolote.
  13. R

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Kamati Kuu ya CHADEMA yakutana kufanya mkutano kwa siku 2. Itajadili hali ya usalama nchini

    Nitarejea kujua yaliyojiri. Mungu awatangulie katika kujadili kwao
  14. R

    JamiiForums Tanzania Katiba ya Tanzania ni bora zaidi ya Katiba ya Kenya na Afrika Mashariki kwa ujumla

    Kwa nchi inavyojiendea unashangaa hata Tlaatlaah ana nafasi ya uongozi. Kwanini watu wasipotee? Ila watu kama hawa tulizaliwa nao, tulisoma nao, tunacheka nao. Ni walewale wa kujipendekeza. Unakuta jibaba marafiki zake wote Ni wanawake, hawezi kutofautisha jema au baya.
Back
Top Bottom