Recent content by Recipient

  1. Recipient

    JamiiForums Tanzania Serikali itangaze mikutano ya Waziri Mwigulu sio hatarishi na COVID-19

    Presidential material
  2. Recipient

    JamiiForums Tanzania Kati ya Hawa wafuatao ni nani Rais ajaye wa Tanzania?

    Ondoa magaidi na genge lao wabaki wanasiasa hapo. Tutakuambia nani anafaa
  3. Recipient

    JamiiForums Tanzania ACT-Wazalendo na NCCR-Mageuzi walaani vikali kukamatwa kwa Freeman Mbowe

    Badala ya kulaani na kulaani na kulaani, Wamshauri Mbowe aachane na ugaidi. Nchi ibaki salama wapinzani wafanye siasa katika nchi yenye amani. Kumruhusu Mbowe kuigeuzi Tanzania kama Somalia haikubaliki
  4. Recipient

    JamiiForums Tanzania Tozo ya miamala, Ugaidi wa Mbowe na Ujio wa Chanjo ya Corona

    Wanabodi, Kama watanzania tunapitia katika changamoto nyingi lakini kubwa tatu. Wakati bado serikali halijapatia ufumbuzi malalamiko kuhusu Tozo ya Miamala ambayo bado imekuwa kero kwa wananchi, likaibuka suala la kukamatwa Mbowe anayetuhumiwa kwa makosa ya kupanga ugaidi. Wakati hili la...
  5. Recipient

    JamiiForums Tanzania Kisutu, Dar: Mbowe afikishwa mahakamani kwa Ugaidi. Akosa dhamana na kupelekwa rumande. Kesi kuendelea Agosti 5, 2021

    Ushahidi utatolewa mahakamani. Tusubiri muendelezo wa kesi
  6. Recipient

    JamiiForums Tanzania January Makamba: Kauli ya Askofu Gwajima kuhusu chanjo na dhamira ya Serikali haikubaliki

    Makamba mpaka sasa bado anatafuta uteuzi
  7. Recipient

    JamiiForums Tanzania Tusitetee uovu, Mbowe hayuko juu ya sheria. Kama ana makosa tuache sheria ifuate mkondo

    Mbowe akiachana na ugaidi akafuata sheria kufanya siasa atakuwa sehemu ya usalama wa nchi. Mwambieni mabeberu wanaomsapoti kufanya ugaidi watampoteza. Aachane na ugaidi
  8. Recipient

    JamiiForums Tanzania Kisutu, Dar: Mbowe afikishwa mahakamani kwa Ugaidi. Akosa dhamana na kupelekwa rumande. Kesi kuendelea Agosti 5, 2021

    Utajuaje kwamba siyo Gaidi? Unataka mpaka aanze kulipua mabomu ndiyo ujue alikuwa Gaidi? Hebu tuwe watulivu kipindi kesi ipo mahakamani. Mahakama ndiyo chombo pekee itakayotoa maamuzi ya ama ni gaidi, ama siyo gaidi. Ila mwambieni kaka aachane kabisa na tabia za ugaidi, ama zinazoashiria...
  9. Recipient

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Ni jambo baya sana kuwapa Chanjo ya Corona Wanajeshi, Polisi na watu wa Usalama

    Tatizo una threads nyingi Eroo mpaka najichanganya😀
  10. Recipient

    JamiiForums Tanzania Tujiulize: Wilaya ya Hai ilikuwa na viongozi wa aina gani. DC Sabaya anatuhumiwa Jambazi na mbunge Mbowe anatuhumiwa Gaidi

    Ujambazi ni tabia ya mtu. Ugaidi unatengenezwa
  11. Recipient

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Ni jambo baya sana kuwapa Chanjo ya Corona Wanajeshi, Polisi na watu wa Usalama

    Wote wana kesi za kujibu. Ushahidi na uhalisia wa kesi ndiyo utakaotambua haki ya kila moja. Ni kosa kuingilia uhuru wa mahakama
  12. Recipient

    JamiiForums Tanzania Askofu Gwajima: Ni jambo baya sana kuwapa Chanjo ya Corona Wanajeshi, Polisi na watu wa Usalama

    Pesa pesa pesaaaaaa... Bill Gates kakuona😀
  13. Recipient

    JamiiForums Tanzania Marekani yatoa msaada wa dozi Milioni 1 za Chanjo ya Coronavirus

    Chanjo ya Johnson and Johnson iliyopingwa Marekani na Ulaya kwa damu kuganda tumeletewa Tanzania. Tuchomwe tu maana damu zetu sisi weusi haina mfumo wa kuganda. Hata tukifa poa tu kwani nini
  14. Recipient

    JamiiForums Tanzania Kisutu, Dar: Mbowe afikishwa mahakamani kwa Ugaidi. Akosa dhamana na kupelekwa rumande. Kesi kuendelea Agosti 5, 2021

    Kesi ya ugaidi huwa ngumu sana ku deal nayo. Namwomba kaka Mbowe aachane na ugaidi. Haulipi
Back
Top Bottom