Recent content by rechel

  1. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini huwa havigombani?

    Asante papag!! Mzima tena saaana tu! Tatizo lake kageuza Mchepuko kuwa Njia Kuu. Hzo ndo changamoto za ndoa au maisha.
  2. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwanini huwa havigombani?

    Hyo nayo inayegemea .... kama vinaendelea kuwasiliana ina maana mahusiano/urafiki upo. Wengine hapa tuna zaidi ya mwaka kitanda kimoja lkn hata hakuna mwenye hamu na mwenzie. Jaribu kufikiria kwa karibu .... mwanaume gani anaweza kuishi na mke wake kama dada yake? Mpka hapo ndoa hyo imekufa...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Mwenzenu na miaka miwili sijakutana kimwili, je kuna athari zozote zinaweza tokea?

    Mungu akubariki ni Neno Jema. Mwenye sikio na asikiye
  4. R

    JamiiForums Tanzania Mwenzenu na miaka miwili sijakutana kimwili, je kuna athari zozote zinaweza tokea?

    Ni kweli kabisa, hakuna tatizo lolote. Mie mwenyewe nijionea. Hvyo Nakuunga Mkono. Tendo la Ndoa ni tendo linalo hitaji heshima na lina taratibu zake. Wanaokwenda hovyo hata afya zao utaziona na maendeleo kwao ni ndoto. Sanasana utajivunjia heshma mitaan na kwa watu wakaribu yako kwa wanao...
  5. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Narefusha nyeti

    Du! Una za kichina?
  6. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wana hulka kubwa ya kuchepuka kuliko wanaume

    Ckweli kwamba kila mwanamke anachepuka .... nina miaka miwili toka mume wangu kubadili njia kuu kuwa Mchepuko ..... Yaani una haki zote...
  7. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake wana hulka kubwa ya kuchepuka kuliko wanaume

    Ni kweli kaka .... mie nipo kwenye Ndoa ya Kanisani na hilo tatizo limenitokea na bado linaendelea...hzo ndoa kwa sasa ni Usaniiii tuuuu ... hakuna kitu cha muhimu kinachoendelea
  8. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kunyonya/kulamba tupu husababisha laana?

    Du! Nawewe ni hatari!!!!!
  9. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulichukua hatua gani ulipogundua umesalitiwa na mpenzi wako?

    Nimependa uamuz wako....naona nami nahitajika kufanya hvyoo!! Asante
  10. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ni sawa mtu kuoa mke wa pili iwapo mkewe yu mgonjwa na hawezi kumtimizia tendo la ndoa?

    Huyo UZINZI unamsumbua .... hyo sababu c ya muhimu. Kiapo kinasema hv 'HADI KIFO KITAKAPOTUTENGANISHA" kwenye shida na raha. Kanisani wanaweza kutenganisha iwapo cku ya kwanza mnapo lala pamoja Jogoo hawiki hyo ndoa ni Batili. Lkn tatizo linapokuja baadaye ... Uvumilivu unahitajika. Inaonyesha...
  11. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushauri: Nimefuma message za mapenzi kwenye simu ya mpenzi, analia nimpatie last chance?

    Hapo usijisumbue kitu....Mungu kesha kuonyesha huyo hafai. Tabia ni sawa na rangi ya ngozi haibadiliki.....hata ufanyeje ...atatulia kwa muda then atarudia yaleyale. Mimi ni mtu mzima, nina yaandika haya kwa mifano Halisi. ACHANA NAYE
  12. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nirudiane au nisirudiane na mpenzi wangu wazamani?

    Yaani pole sana kwa yaliyokukuta. Na hongera kwa kuweza kuyashinda. Nimekupe saaana kwa jitihada zako...Mungu azidi kukubariki. Kwenye Kikao usiende kabisa na namba ya cm ya huyo ex mume iblock ...kama ni mawasiliano awasiliane na watoto wake tu. Kwako anatafuta nini kgeni? Ni mkatili na pia ni...
  13. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nirudiane au nisirudiane na mpenzi wangu wazamani?

    Usiende
  14. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nirudiane au nisirudiane na mpenzi wangu wazamani?

    Nami naunga mkono Usiendeee
  15. R

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tulianza kama kumkomoa mume wake, eti sasa hivi ana mimba yangu

    Watu wengi ndivyo wanavyojidanganya ... Kinga inatumika cku za mwanzo tuuu!!! Baada ya hapo kila mtu anajiaminisha na ndipo tatizo linapoanza. Hongera Mzee umeonyesha ni jinsi gani ulivyo shujaaaa ... kwa kuwa unakwenda na wakati .... hvyo Mchupuko anageuka kuwa njua Njia Kuuu .... sasa cjui...
Back
Top Bottom