Recent content by rebecca masanja

  1. rebecca masanja

    Msaada, laini yangu ya vodacom haipigi nikiiweka kwenye smartphone.

    Habari za mwaka mpya wapendwa,,, Nina laini ya vodacom ambayo nikiiweka kwenye smartphone yoyote huwezi kumpigia mtu,,, maana nishajaribu kuiweka kwenye smartphone aina nyingi lakini tatizo lipo pale pale. Yani nikijaribu kupiga haichukui hata sekunde inajikata yenyewe...
  2. rebecca masanja

    VSO Tanzania watangaza nafasi 75 za kujitolea kwa vijana umri 18-25

    Dah, hongera ndugu, nilikuwa natamani niipate hiyo chance.
  3. rebecca masanja

    VSO Tanzania watangaza nafasi 75 za kujitolea kwa vijana umri 18-25

    Vip kuna aliyeitwa interview kwa aliyeomba vso?
  4. rebecca masanja

    Mafunzo ya kuflash simu (SOFTWARE) bure

    Group la whatsap lingefaa zaidi,,, ili na wa mbali tufaidike piaa
Back
Top Bottom