Recent content by Realrogers Ropaul

  1. R

    JamiiForums Tanzania Nime download meta trade 4, nawezaje kutumia demo account ili niifahamu Forex?

    Bado sijasoma, najitaidi kuvidownload ila havifunguki. Thanks for ur support.
  2. R

    JamiiForums Tanzania Nime download meta trade 4, nawezaje kutumia demo account ili niifahamu Forex?

    Bado sijasoma, najitaidi kuvidownload ila havifunguki. Thanks for ur support.
  3. R

    JamiiForums Tanzania Nime download meta trade 4, nawezaje kutumia demo account ili niifahamu Forex?

    Hooo Asante sana tena sana, umenisaidia sana ndugu yangu.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Nime download meta trade 4, nawezaje kutumia demo account ili niifahamu Forex?

    Habari Jf members, samahani naomba kupata elimu jinsi ya kutumia demo account kwenye Forex, napenda kujua jinsi ya kununua na kuuza fedha za kigeni na meta trade 4 na demo account nimeisha fungua ila hapo sasa jinsi ya kuitumia ndo bado sijaelewa kwa mambo tawa hapo juu, naomba msaada katika...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta sponsor wa Diploma in Clinical Medicine

    Hooo asante sana. Ubarikiwe..,
  6. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta sponsor wa Diploma in Clinical Medicine

    Hooo ook asante sana.
  7. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta sponsor wa Diploma in Clinical Medicine

    Niko mwanza, inasomesha kwa ngazi ya diploma..?
  8. R

    JamiiForums Tanzania Ni chuo gani Tanzanian kinatoa kozi ya bioengineering?

    Ni chuo gani Tanzanian kinatoa kozi ya bioengineering na vipi kuhusu ajira ake.. Naomba mnijuze wadau
  9. R

    JamiiForums Tanzania Natafuta sponsor wa Diploma in Clinical Medicine

    I need someone to sponsor me for clinical medicine Habari zenu wakubwa, natafuta sponsor wa kunisaidia financially, for school fees katika kipindi hiki cha masomo, kozi itaanza 25/9/2017, nashukuru sana kwa kunielewa.
  10. R

    JamiiForums Tanzania Sponsorship za Masters nchini Tanzania

    Wakubwa natafuta sponsor diploma in clinical officer. Napenda sana kusomea course hii mwaka huu na mwezi wa Tisa taree 25 masomo ndo yanaanza
Back
Top Bottom