Recent content by Real Shalom

  1. R

    JamiiForums Tanzania Jifiche jifiche mume wangu ameluja!!!.

    Wambie wasubiri hukumu ya Mungu coz wote ni wazinzi tu.
  2. R

    JamiiForums Tanzania Ugojwa wa Wapendanao

    Wanandoa waliodumu zaidi ya miaka 20 wamebainika kuwa na ugonjwa wa Kisukari, utafiti unaonesha waliugua kwasababu ya majina wanayojiita kama; my Honey, my Sweet, my Hot Chocolate nk. Plz mkinge mpenzi wako na Kisukari kwa kumuita my Klorokwn, my Sifongo.
  3. R

    JamiiForums Tanzania Hivi kwanini Mahakimu uitwa Waheshimiwa

    Kwanza hata ukichunguza hao wanaowaita WAHESHIMIWA si kweli kuwa wanamaanisha so mi nadhani ni UWOGA NA UNAFIKI tu ndio unaotusumbua kwani hakuna sehemu ktk Katiba au popote panapotaja kuwaita watu fulani ni waheshimiwa. Pia hakuna adhabu wala faini 4 It.
Back
Top Bottom