ACT sio nyumbu kama unavyodhani. Haifanyi siasa za matukio na msimu. Haiwezi kukaa kushikisha wanachama wake ukuta. Badala ya kuleta thread za uongo na fitina kama hizi nakushauri ujikite katika maandalizi ya kushika ukuta.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.