Recent content by real life 1997

  1. R

    JamiiForums Tanzania Heshimu kila kitu Kama kilivyo!

    Well said,,wachache watakuelewa
  2. R

    JamiiForums Tanzania Born without a purpose

    [emoji120][emoji120][emoji120]
  3. R

    JamiiForums Tanzania Born without a purpose

    Hapana,boss nimejiajili,,ila maisha yangu yanachanga moto nyingi saana ,mawazo ya kujaribu upande wa pili yananijia sana ila nikiangalia watu walio nyuma yangu...hapana.. I must live
  4. R

    JamiiForums Tanzania Born without a purpose

    Nahisi kuna watu tulizaliwa tu bila dhumuni,,tupo tu ili siku ziende Hii ni huzuni.
  5. R

    JamiiForums Tanzania Madam sky Eclat

    Kwangu mimi huyu ndio madam makini zaidi hapa JF, Na ndio mtu niliemfuatilia zaidi hata kabla ya kuwa member rasmi hapa Jf mwaka huu. Ninamkubali sana ,ni mwqnamke makini, na hekima sana ,,hata siku moja sijawahi kumuona akimjibu mtu shit,, na ikiwa utamjibu shit kwenye uzi wake ,,she will...
  6. R

    JamiiForums Tanzania Ni wapi naweza kupata vifaa vya michezo vya watoto wadogo?

    Asante mkuu,, Nilifungua kituo tarehe 2/11/2020 Kwa kweli nilianza na mazingira magumu kidogo,,kwani nilikuwa sina kabisa mtaji,kwaiyo kutokana na mazingira kuwa kidogo hayavutii,,niliamua kuweka kiasi kidogo cha ada lengo ni kuwavutia wazazi wengi,, Asante MUngu nilifanikiwa,,siku ya kwanza...
  7. R

    JamiiForums Tanzania Ni wapi naweza kupata vifaa vya michezo vya watoto wadogo?

    Kweli boss,,but ndio naanza kwaiyo capital issues ni changamoto that is why nilitaka nianze na vifaa cheap kidogo,,but asante
  8. R

    JamiiForums Tanzania Ni wapi naweza kupata vifaa vya michezo vya watoto wadogo?

    Wakuu, Naomba kuuliza kwa yeyote anaejua ni wapi naweza pata vifaa vya michezo vya watoto wadogo. Kama bembea nk Nina kadaycare kangu kadogo,, namshukuru Mungu, sasa nilitaka April niweke tuvifaa kidogo kwaajili ya watoto. NB Kwa mbeya mjini.
Back
Top Bottom