Recent content by rba

  1. rba

    JamiiForums Tanzania Selection form five

    gabrielrweikiza@gmail.com
  2. rba

    JamiiForums Tanzania ENGLISH TENSES

    Kikubwa majibu acha kutuchanganya
  3. rba

    JamiiForums Tanzania HESLB

    Bodi ya mikopo elimu ya juu imetoa access nyingine kwa ajili ya kulipia Madeni kwa wanufaika wa mkopo.Je,kwa njia hii unaeza lipia mwenyewe yamkini kwa Mpesa na kwenye mshahara wasikate au hii imekaaje?
  4. rba

    JamiiForums Tanzania Chuo cha uhudumu wa ndege Tanzania

    Ninaomba walau unisidie website yao
  5. rba

    JamiiForums Tanzania Chuo cha uhudumu wa ndege Tanzania

    Ninaomba walau unisidie website yao
  6. rba

    JamiiForums Tanzania Chuo cha uhudumu wa ndege Tanzania

    Naombeni msaada kufahamu chuo cha uhudumu wa ndege hapa Tanzania na namna ya kupata website yao.
  7. rba

    JamiiForums Tanzania Natafuta shule binafsi kwa mchepuo wa sana iliyopo Dodoma,Kagera,Manyara,Tabora au Moro

    Naomba msaada kwa anayefahamu shule nzuri (Private Schools) ya kidato cha tano katika masomo ya sanaa katika mkoa wa Dodoma,Kagera,Manyara,Tabora na Morogoro.Ni vema ukanifahamisha ada ni kiasi gani.
  8. rba

    JamiiForums Tanzania Hawa hapa Waliochaguliwa Kidato cha tano, Wanafunzi 3,000 waliofaulu waachwa

    Msaada mwenye pdf form 5 second selection.
  9. rba

    JamiiForums Tanzania Naombeni Msaada wa maelezo zaidi kuhusu hili tangazo la TCU

    Mwenye kuelewa msaada pliz
  10. rba

    JamiiForums Tanzania Naombeni Msaada wa maelezo zaidi kuhusu hili tangazo la TCU

    Naombeni Msaada wa maelezo zaidi. TCU wametoa hili tangazo Invitation to apply for recognition of prior learning (RPL) Examinations as a pre_requisite to join degree programmes into higher learning institutions for Academic year 2017/2018. Nimesoma vizuri lakini sijaelewa hasa wanataka mtu awe...
  11. rba

    JamiiForums Tanzania Msaada: Notes na past papers kidato cha sita 2012-2015

    Naomba msaada wakupata notes&past papers za necta kidato cha sita kuanzia 2012_2015 kwa mwenye nazo.
  12. rba

    JamiiForums Tanzania Maalumu kwa ushauri wa kombination inayofaa kwenda nayo Form five

    THREE POINT 25
  13. rba

    JamiiForums Tanzania Maalumu kwa ushauri wa kombination inayofaa kwenda nayo Form five

    Kijana kapata HISTORY "D" GEOGRAPHY "C" KISWAHILI "C" ENGLISH "C" MATHE "C" BIOLOGY "F" CIVICS "D" DIVISION 3...
  14. rba

    JamiiForums Tanzania Je naweza soma master tofauti na education?

    Nimesoma bachelor of arts with education subjects geography and history je naweza soma master tofauti na education? Kama ipo je ni ipi?
Back
Top Bottom