Najivunia sana kumiliki Subaru Legacy B4 Twin Turbo RSK Class, najivunia mno...nikiwa mitaani napenda mlio wake kama Simba nyikani na nkiwa road highway trip ya mkoa kwa mkoa siku nimechafukwa nyongo ninavyoikurupua hatari japo mara nyingi mwendo wangu huwa ni wa wastani. Huwa naridhika...
Mi nautafuta
1. Hohehahe wameimba Swahili by Nature.
2. Tumbo deni la dunia wameimba Uswahilini Matola.
3. Kitambo kidogo wameimba Big Doggy Pose.
4. Ana ana doo aliimba Soggy Doggy kwa kigugumizi.
5. Usingizi aliimba Soggy Doggy.
6. Mtoto Pili aliimba Dogo Hamidu.
Hizo nimezitafuta bila...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.