Huna hoja ya msingi umeandika utumbo! Badala ya kuhoji 51% iko wapi na inafanya kazi gani unahoji 49% ya mtu ambaye analea timu na kusajili wachezaji! Kweli akili si nywele!
Mchezo umemalizika kwa Tanzania kupoteza kwa bao 3-0 dhidi ya Colombia.
Magoli yote tumefungwa mapema sana kipindi cha kwanza na hii inaonyesha Kocha Bakari Shime alivyowaingiza mabinti bila nidhamu ya mchezo kwa vile tuliwafunga Ufaransa.
Nina imani kama tungeingia kwa kujilinda zaidi na...
Huna hela utaenda kwa ndege ya kukodi? Unaijua gharama ya kukodi ndege? Au Unadhani hiyo gharama ni ndogo kuliko wangekaa huko siku tatu? Akili tu inahitajika kutambua mambo!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.