Recent content by Raymond litta

  1. Raymond litta

    JamiiForums ACT Wazalendo wawasilisha Mahakamani kesi ya kupinga uteuzi wa Katibu wa Bunge uliokiuka Katiba na sheria za nchi

    Jamani ifike muda kauli na maamuzi ya mheshimiwa Rais ziheshimike tusibakie kupinga kila kitu watanzania tubadilike
  2. Raymond litta

    JamiiForums Baada ya Mbowe kumpongeza Rais kuhusu Baraza la Mawaziri, watu kimya

    Kinachotakiwa ni kumpongeza na kumtia moyo pale anapofanya vizuri mheshimiwa Rais pia tusijisahau kumshauri na kutoa maoni pale panapohitajika kufanya hivyo
  3. Raymond litta

    JamiiForums Tujikumbushe matukio ya vifo na kuugua ghafla kwa viongozi ndani ya CHADEMA ambayo yameacha maswali yasiyo na majibu

    Hayo mambo yanahitaji muda mrefu siyo ya kusikiliza na kuyatolea majibu
  4. Raymond litta

    JamiiForums Rais hana hotuba mpya, zote zilipendwa!

    Wewe kama unaona hotuba zake ni zilezile zima radio ,luninga maana kuna wengine hawaoni kazi anazofanya mh rais mpaka wakumbushwe kwa maneno
  5. Raymond litta

    JamiiForums Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Siku nyingi sana
  6. Raymond litta

    JamiiForums Rais Magufuli: Nilivyoingia sukari Ilikuwa Sh. 5,000/- sasa hivi imeshuka na itaendelea kushuka

    Kwa hapo tunakuunga mkono lakini tunachokuomba ulegeze kidogo mkanda maana duuh!
  7. Raymond litta

    JamiiForums Nani anafaa kuwa rais mpya kupitia uchaguzi wa TFF 2017!

    Ali Mayai ndiye anayefaa kuwa rais wa TFF Post sent using JamiiForums mobile app
  8. Raymond litta

    JamiiForums Hatimaye Tiemoué Bakayoko asaini Chelsea

    Safi sana bakayoko karibu the blues Post sent using JamiiForums mobile app
Back
Top Bottom