Recent content by Raymond karega

  1. Raymond karega

    Ushauri ninunuwe laptop yenye uwezo gani?

    Ahsante kwa ushauri, Ahsante kwaio ni laptop ipi naweza pata kwa hii laki7 mpya I mean uwezo na tools zote
  2. Raymond karega

    Ushauri ninunuwe laptop yenye uwezo gani?

    Habari wakuu. Msaada kwa anayeelewa, ninunue PC gani, na yenye uwezo gani mzuri kwa budget yangu ya laki7? Mimi si mtaamu wa aina za PC na uwezo wake nisaidieni nisije kuingizwa chaka. natafuta laptop mpya, yenye uwezo wa kurun animation Kama blender, na 3D nyingne, pia inisaidie kwenye...
  3. Raymond karega

    Ukosefu wa ajira toka 2015 unavyowanyima vigezo wahitimu kuomba kazi zinazotoka sasa

    Kama ambavyo teknolojia hubadilika na life is Dynamic basi ndivyo hata mitaala ya elimu ichunguzwe upya hasa katika kigezo cha umri
Back
Top Bottom