Recent content by raymbilinyi

  1. raymbilinyi

    Vitu vinavyoirudisha nyuma nchi yetu Tanzania

    VITU VINAVYOIRUDISHA NYUMA NCHI YETU TANZANIA Nchi yangu Tanzaniai ni tajiri sana katika rasilimali lakini bado nchi yetu ni miongoni mwa nchi masikini duniani. Kuna baadhi ya vitu ambavyo vinasababisha sana nchi yetu kuendeleea kuwa nyuma licha ya kuwa na uongozi imara na dhabiti katika awamu...
  2. raymbilinyi

    Ushauri kwa serikali kwa watumishi ambao wamesimamishwa kazi aidha kwa uzembe au maagizo ya maboss

    USHAURI KWA SERIKALI KWA WATUMISHI AMBAO WAMESIMAMISHWA KAZI AIDHA KWA UZEMBE AU KWA MAKOSA AMBAYO WAMETENDA KUTOKANA NA MAAGIZO YA WAKUBWA (BOSS) WAO HUKU WAKICHUKUA MISHAHARA PASIPO KUFANYA KAZI. 1. Watumishi waliosimamishwa kazi kwa muda mrefu kwa zaidi ya mwaka mmoja au miezi mingi huku...
  3. raymbilinyi

    Hongera Rais Dr. John Pombe Magufuli kwakutekeleza kila unachosema na kupanga

    HONGERA SANA MHESHIMIWA RAIS DR. JOHN POMBE MAGUFULI KWAKUTEKELEZA KILA UNACHOSEMA NA KUPANGA. Watanzania ufike mahali tuwaelewe na tuwakatae watu wasiomtakia Mh. Rais Dr John Pombe Magufuli mafanikio katika kukamilisha alichoahidi kutekeleza Kwa ajili ya nchi yetu pendwa Tanzania. Nimekuwa...
  4. raymbilinyi

    Je, Kuna umuhimu sana wa kuchapisha pesa mpya?

    JE KUNA UMUHIMU SANA WAKUCHAPISHA PESA MPYA??? Suala la kuchapisha na kubadili noti mpya ni sehemu ya kushughulika na pesa bandia na hata wezi wanao ficha pesa ndani ya Nyumba zao kwenye mashelf...... Lakini kabla hili la kubadili pesa anza na watu wenye kipato(mshahara) kidogo lakini...
  5. raymbilinyi

    Ni wakati sasa wa Kujua ni Gharama Kiasi Gani zimetumika Kupambana Na "Tamko"

    MADHARA TULIYOYAPATA MWEZI MMOJA BAADA YA TAMKO KUHUSU MAANDAMANO YA KUPINGA UDIKTETA (UKUTA)..............................NINI KIFANYIKE? Nianze kwakuwa shukuru Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kusitisha adhma yake ya kufanya maandamano ya kupinga Udikteta (UKUTA) leo hii tarehe...
  6. raymbilinyi

    Yaliyojiri Kutoka Ufipa: Mkutano wa CHADEMA na waandishi wa habari, maandamano ya UKUTA yaahirishwa

    MADHARA TULIYOYAPATA MWEZI MMOJA BAADA YA TAMKO KUHUSU MAANDAMANO YA KUPINGA UDIKTETA (UKUTA)..............................NINI KIFANYIKE? Nianze kwakuwa shukuru Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kusitisha adhma yake ya kufanya maandamano ya kupinga Udikteta (UKUTA) leo hii tarehe...
  7. raymbilinyi

    Ushauri wangu kwa serikali kwenye eneo la Teknolojia na Mawasiliano (ICT)

    USHAURI WANGU KWA SERIKALI KWENYE ENEO LA TEKNOLOJIA NA MAWASILIANO (ICT) Ni wazi sasa kimepita kipindi cha kama miezi hivi toka Mheshimiwa Rais Dr. John Pombe Magufuli agize kitengo serikali che electroniki (E-Government) kuwa na kituo maalum cha mambo ya mawasiliano (ICT) kitakacho kusanya...
  8. raymbilinyi

    Watanzania tupewe nini na Mwenyezi Mungu?!

    Utii wa sheria bila shuruti ......huwezi shindana na serikali....Mpiga ngumu ukuta humia mkonowe
  9. raymbilinyi

    Watanzania tupewe nini na Mwenyezi Mungu?!

    Hahahahhahaha ukisema ukweli unataka madaraka ....lazima ujue kuappreciate mtu anae fanya kazi yake vizuri.....
  10. raymbilinyi

    Watanzania tupewe nini na Mwenyezi Mungu?!

    Watanzania tumekuwa tukilia kila uchwao kuhakikisha nchi yetu Tanzania inapata kiongozi bora, asiyependa rushwa, makini katika usimamiaji wa haki, mwenye kuheshimu kila mtu, mtu wa maadili, mpenda watu hasa wanyonge/wasiojiweza, msimizi mzuri wa sheria/katiba, msimamizi wa rasilimali na sifa...
  11. raymbilinyi

    Ushauri wangu kwa Waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi......nini kirekebishwe

    USHAURI WANGU KWA WAZIRI WA ELIMU NA MAFUNZO YA UFUNDI......NINI KIREKEBISHWE???????????????????? Nianze kwa kumshukuru Mungu kwakuendelea kunipa uhai mpaka nakuwa nauwezo wakufikiri na kuweza kutoa mawazo yangu katika jamii yetu hasa nchi yangu pendwa Tanzania. Leo nimeona nijikite katika sekta...
  12. raymbilinyi

    Ushauri wangu kwa uongozi mpya wa CCM unaotarajiwa kusimikwa rasmi tarehe 23/07/2016

    USHAURI KWA UONGOZI MPYA WA CCM UNAOTARAJIWA KUSIMIKWA RASMI TAREHE 23/07/2016. Kwanza binafsi ninafuraha kuona siku zimebaki chache za kamanda wetu na Rais wetu mpendwa Dr. John Pombe Magufuli kukabithiwa mikoba ya kuwa Mwenyekiti mpya wa Taifa wa Chama Cha Mapinduzi (CCM). Hakika itakuwa...
Back
Top Bottom