Mabinti wengi wenye Nia ya kupata waume na kutulia kwenye ndoa ni wachache sana hasa kwa namna Kasi ya sayansi na utandawazi inavyokua kilasiku, Mara nyingi mabinti wa nia hii huangukia mikononi mwa wanaume wanaoishia kuwadanganya wengine kwa pesa na wengine kwa ufundi wa kitandani hatimae...

Hili suala ni suala kubwa na kubatilishwa sio vyepesi kama unavyodhani, fikiria Jambo moja mfumo haupo hold na serikali kabisa pia system ipo automated alama ya kidole haibatilishwi sababu kila alama ya kidole inaidentint ya mtu mwenyewe hivyo kila kura itaainishwa moja kwa moja
Wapendwa wote wa JF kutokana na kelele zote ambazo hasa hutokea kwenye miaka ya uchaguzi kuhusu tuhuma nyingi sana, hivi ni kwanini mfumo wa kupiga kura usiwe kwenye nida, simu yako ya kiganjani, alama ya kidole chako, peke yako na Siri yako? Mifumo hasa kwenye teknolojia imeshakuwa vya kutosha...

Maana na talaka ni Nini?
Ni kutimiza tamaa za kimwili na kingono hamna maana nyingine hapo! Wanaume hupenda talaka kwasababu kuoa sio Jambo kubwa kwao hasa kwa wale wanawake wanaopenda ndoa kwanza ndio tendo. Mtu anakuja kwenye maisha yako sababu ya ulivyoumbika na tamaa zake anakuoa anakutumia...
Alafu hao wanawake wenu wa kiislamu wakikaa kwenye vikundi vya wamama mnajua wanasema nini? "Tunatamani Ukristo kuishi na mume mmoja na mke mmoja as one hadi kifo" hata wakezenu hawana furaha kwenye hiyo ndoa ya kushare mume Tena kwa ridhaa.
Wewe unatamaa ya ngono, unaendekeza tamaa za mwili na kuzitii sheria za Dunia. Kama unaona Ukristo unakubana nenda Uislamu Bro! Suala la mtu kucheat ni maamuzi yake binafsi mbona watu wanatulia! Shida ni kwamba watu wamejiwekea kuwa ni lazima kucheat, au kulala na wanawake/wanaume wengi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.