My advice nunua na SBT japan, nimeshanunua gari tatu kutoka kwao they are on time..and wana ku assist mpaka the end..they keep they r promise na hawazingui hata kidogo..amd hata baada ya kununua wataendelea kuwasiliana nawewe kujua kama gari imekusumbia chochote and things like that.
Halafu tunashangaa kwanini tanzania ni maskini...duuh kama mtu na akili zake anadhani bendera ya balozi ya israel italeta maendeleo ya nchi hii..basi tena..kazi ipo..nakulilia tanzania.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.