What else were you expecting him to do! Himself he is a brand, and as a brand he is obligated to respond in any negative claims. So i would say thus a proactive act he did
Mkakati wa UKAWA.
Wamepanga kufanya vurugu baada ya kushindwa na kutengeneza mgogoro ili Jumuiya ya Kimataifa iingilie kati na kupendekeza kugawana madaraka.
Tunaviomba vyombo vya ulinzi na usalama vizuie hili jambo kwa sababu halina nia njema,hawatafanikiwa,tunaviomba vyombo ya ulinzi &...
Mimi sijui niizungumziaje hali halisi inayoendelea mitandaoni but kuhusu mama regina bana mh' unajua kila mtu either mtu mzima au kijana tunatabia zetu binafsi regarding maisha yetu ta kila siku kwa ujumla, watu tunao kaa nao, mambo tunayofanya nao, yanapelekea au yanachangia sana on how they...
hahaa..hili likichwa langu sio..well ni ushauri tu nimetoa na kusema kwamba mtu kuvunjwa mguu au kutolea jicho ile ilikuwa lugha ya maafa ambayo mtanzania anaweza akaipata endapo pale amani ikipotea nchini..usisem nawaza upumbavu kwasababu tushaona jinsi watu wanavyotenguliwa viungo vyao kwa...
KULINDA KURA NI KAZI YA WAKALA.
Unakaa mita 200 unalinda kura, ndani wakala wako anakubaliana na matokeo,alafu wewe mwananchi unayapinga na unaandamana, polisi wanatii amri ya mkuu wa majeshi, unavunjwa mguu na kutolewa jicho, unaswekwa rumande na sio hospitali,watoto na mke wako unawaacha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.