Recent content by Ray 4

  1. R

    Kupokea Ndege kufanywa ni tukio la kitaifa ni ushamba, tunachoreshana..

    Pigia mstari. Lazima Treni zipokelewe kwa shangwe kubwa ya ndege cha mtoto. Sent using Jamii Forums mobile app
  2. R

    Jamhuri: Mo Dewji alikuwa na Microchip iliyokuwa ikirekodi kila kitu na kutuma London Uingereza. CIA wanachunguza kimya kimya

    Tuimwage[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  3. R

    Lissu is too shallow compared to Prof Kabudi

    Nimecheka kifala... Eti "Mpunguzieni kabudi mshahara kidogo alafu tuone shule atakayoitoa"
  4. R

    Tundu Lissu: Prof. Kabudi ni bingwa wa kuchapia, hasa kwa watu wasiomuelewa au walio wavivu wa kusoma au wenye uelewa wa juu juu

    Bora hata hakumfundisha maana kwa Jinsi Lissu alivyo angelishwa Matango pori na kuja kututapikia humu mpaka. Heri aliyemfundisha Lissu maana kwa sasa anatapika vitu adimu bila woga!
  5. R

    ATCL kutua kesho Burundi, shamrashamra zaanza usiku wa leo Bujumbura

    Air Tanzania tunapasua mpaka Space. Sent using Jamii Forums mobile app
  6. R

    ATCL kutua kesho Burundi, shamrashamra zaanza usiku wa leo Bujumbura

    Air Tanzania Chama kubwa. Sent using Jamii Forums mobile app
  7. R

    ATCL kutua kesho Burundi, shamrashamra zaanza usiku wa leo Bujumbura

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hopeless kweli. Iende na Heathrow kule airport runway itapigwa deki kuipokea ATCL yetu. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. R

    ATCL kutua kesho Burundi, shamrashamra zaanza usiku wa leo Bujumbura

    Kwani Wakenya hawana machozi ya kufurahia ATCL? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Tena Wakenya wataiosha na sabuni. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. R

    ATCL kutua kesho Burundi, shamrashamra zaanza usiku wa leo Bujumbura

    Tuende na Nairobi ambapo wanatusubiri kwa hamu. Na wanapanga mkesha mkubwa ambao haijawahi kutokea kuipokea ndege yetu ya ATCL Sent using Jamii Forums mobile app
  10. R

    CCM inakuwa sawa na nyumba ambayo mgeni akiingia na utaratibu wote wa kimaisha unabadilika.

    Kwani mleta mada ame declare interest kwamba yeye ni CHADEMA? Je kama yeye ni CCM? Ni vema tukajadili hoja na sio kukimbilia vitu vilivyo nje ya mada. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. R

    Mmekalia kuteka watu, Tazama wenzetu walivyo advance

    Hivi mshapata picha kama ingekuwa ni sisi ndo tunarusha hiyo roketi mgeni rasmi angekuwa nani na angefanya nini kwenye event hiyo? Sent using Jamii Forums mobile app
  12. R

    Yajue Mashirika makubwa ya ndege Duniani yaliyofilisika mwaka jana 2017

    Sasa kama kuna mashirika yanakufa kwa nini tusingeingia sokoni na kununua ndege kwenye mnada kwa bei nafuu na tukawa nazo nyingi?
  13. R

    Wamebadilika: Bashiru, Mkumbo,Polepole, Kabudi kauli zao kabla ya uteuzi na baada ya uteuzi juu ya katiba mpya

    Hivi ukiwa mwanafunzi wa wahadhiri au maprofesa wa design hii unajisikia je? Maana mtu anaingia class anakufundisha na kukusahihishia mtihani ishu A halafu kwenye vitendo anafanya vingine kabisa kisa Njaa.
  14. R

    Wamebadilika: Bashiru, Mkumbo,Polepole, Kabudi kauli zao kabla ya uteuzi na baada ya uteuzi juu ya katiba mpya

    Huyo unaomtetea ndo hovyo kabisa kwa sababu anakiri kuwa kuna kitu kingine anachokiamini lakini hakisimamii kwa makusudi kabisa. Hivi ni msomi wa namna gani anayeweza kufanya upumbavu wa namna hiyo? Kwenye BREXIT tuliona waziri Mkuu anaachia madaraka kwa sababu alikuwa haamini kama BREXIT...
  15. R

    Paul Makonda atishia kuwasweka ndani Lowassa na wengine wasipoitikia wito wa kwenda kusikiliza madai ya kutelekeza watoto

    Kwaa sababu hakuna mahali unaweza kumlazimisha mtu kupima DNA bila ridhaa yake.
Back
Top Bottom