Recent content by rastar mjeshi

  1. rastar mjeshi

    JamiiForums Tanzania Jamaa uliyenipiga na Chupa ya sere nikiwa natembea service road huku ukiwa kwenye pikipiki Kusudio lako lilikua nini? Ulitaka kuniua nimekukosea nini?

    Huyo jamaa kwa akili zake hizo hawezi kumiliki smart phone tumekuelew pole
  2. rastar mjeshi

    JamiiForums Tanzania Bilionea wa Nigeria amezikwa na gari mpya BMW lenye dhamani ya shilingi milion 800 mwaka 2018

    Ukweli ni kwamba hakuna maisha baada ya haya ila ishi vizuri [emoji846] wao wanajuwa
  3. rastar mjeshi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nadhani mimi ndie mwanamke mwenye sifa mbaya kuliko wote JF

    Nasoma comment zenu Mjue
  4. rastar mjeshi

    JamiiForums Tanzania Mahakama yamtia hatiani Harmonize, atakiwa kuilipa mamilioni CRDB!

    Si pale kwakina basilla mwanukuzi pembeni ya mondi au mana mm nishakula yule beki mnyaturu ambae kuna siku alipost ni mjamzito
  5. rastar mjeshi

    JamiiForums Tanzania Prof. Janabi: Chama cha Figo Tanzania kitawasilisha pendekezo la kuvuna Figo za Marehemu

    Alafu kasema ukitoa figo eti takwimu zinaonyesha unaishi muda mrefu [emoji16][emoji16]
  6. rastar mjeshi

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Msaada: Mke wangu mtarajiwa anawasiliana na ex wake, nifanyeje?

    Muache huyo sio mkewako
  7. rastar mjeshi

    JamiiForums Tanzania Jeshi la polisi unapokuwa na kesi uchukua simu au kompyuta ubaki nazo na mwisho wa siku unakuta wanaziuza kwa wauza simu mtaani

    Wale Simu zao zima mambo mengi wacha wakaenazo kwa usalama wa taifa [emoji16][emoji16] ivii wametoka au bado
  8. rastar mjeshi

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu magonjwa ya kulogwa

    Unaweza kuinyoosha ccm [emoji1][emoji1][emoji23]
  9. rastar mjeshi

    JamiiForums Tanzania Nimegundua na kujihakikishia asilimia mia moja kuwa mke wangu anajichua!

    Piga bumbu vizuri mpaka Cheche ataacha mwenyewe
  10. rastar mjeshi

    JamiiForums Tanzania Tanzania yafunguliwa Kesi ya Madai ya Tsh. Trilioni 3.2 kutoka kampuni ya Orca Energy kwa kukiuka Mkataba wa Uwekezaji

    Tanzania ni kichwa cha mwendawazimu hii kauli inaishi na mfumo
  11. rastar mjeshi

    JamiiForums Tanzania Maisha bila Mungu yamekuwa ya amani na furaha

    Ujuaji mwingi aisee
  12. rastar mjeshi

    JamiiForums Tanzania Kwenye maisha yako ya utafutaji, usije ukarogwa ukakimbilia Moshi

    Rombo ndio washamba sana na njaa kali Ulevi wa kupindukia japo ndugu zangu [emoji16]
Back
Top Bottom