Recent content by Rashidi7

  1. Rashidi7

    Biashara gani ya kunipa faida ya laki mbili kwa siku

    Sorry wakati unaandika hii comment ulikuwa unajua tofauti ya faida ma turnover?
  2. Rashidi7

    Miaka 100 baada ya kifo chako, utazaliwa kwa mara nyingine ukiwa na mwili mpya

    Unm Kuishi milele ukiwa hujui kama ni wewe haina maana yoyote , ni sawa na mtu yupo kwenye koma tu, kabla sijabisha au kutaka kujua huyo anayekupa adhabu naomba niulize baadhi ya maswali na unijubu kama think tank kweli. 1. Je anayetoa adhabu au zawadi ni nani?, kama ni Mungu je ni wa aina gani...
  3. Rashidi7

    Biashara ya uwakala wa simu na benki (M-Pesa, Airtel Money, Tigo Pesa, fahari huduma na NMB Wakala) unaweza kuanza kwa mtaji wa shilingi ngapi?

    Part kubwa ya huu uzi ulijibiwa na watu ambao hawapo kwenye game, mtaji wa million 10 kwa uwakala wa mpesa, tigo pesa na hizo bank ni kukurupuka, biashara hii unashauriwa kuanza kidogo ukipma upepo then unatanua misuli mbele baada ya kuelewa mzunguko.
  4. Rashidi7

    Ushauri: Nataka kuanzisha biashara ya Nafaka au Vipodozi

    We wakiume au wa kike? Mnataka kuenjoy taratibu na mwanaume mwenzio?
  5. Rashidi7

    Nina mtaji wa Milioni 4 natafuta banda/frame ya uwakala

    Leo ukisoma tena meseji yako unajionaje? hahahahah
  6. Rashidi7

    Miaka 100 baada ya kifo chako, utazaliwa kwa mara nyingine ukiwa na mwili mpya

    Tangu World War I mpaka leo ni miaka 110 so wewe ulirudi before 100 au unapost hapa ukiwa na miaka 10 pekee, alafu pia mtoa mada kasema ni roho sio mwili.
  7. Rashidi7

    Miaka 100 baada ya kifo chako, utazaliwa kwa mara nyingine ukiwa na mwili mpya

    Kaka mtoa mada kasema ni roho ndo zinazaliwa tena sio miili.
  8. Rashidi7

    Miaka 100 baada ya kifo chako, utazaliwa kwa mara nyingine ukiwa na mwili mpya

    Umepiga kwenye mshono, pia je aliyezaliwa siku moja na akafa.
  9. Rashidi7

    Miaka 100 baada ya kifo chako, utazaliwa kwa mara nyingine ukiwa na mwili mpya

    Mwandishi kasema inarudi kwa mwanadamu mwingine sio mnyama tofauti. Kwahiyo hapa teyari wewe ushaleta theory ingine ya kuongea na watu , congratulations.
  10. Rashidi7

    Kwa mazingira yetu ya Afrika biashara ya duka la mahitaji ya nyumbani inaweza kukutoa katika umaskini

    Sijaanza kusoma huu uzi leo, wewe ndo umemix madesa. Yaani kwa kifupi unapata ugumu kucatch concept kwa urahisi hivyo tu.Anyways tuendelee kufatilia uzi , sitaki sana kubishana nipo hapa kujifunza maana ndo nimeanza hizo mishe.
  11. Rashidi7

    Kwa mazingira yetu ya Afrika biashara ya duka la mahitaji ya nyumbani inaweza kukutoa katika umaskini

    Mzee darasani ulikuwa unapata ngapi? Ni mgumu sana kuelewa hata concept rahisi hivi. Hajasema hiyo estimate ya kuanza ni ya jumla anazungumzia how unaweza kuanza kwa hiyo 500k just to take off.
  12. Rashidi7

    Kwa mtaji wa 2.5M Dodoma naweza nikafanya biashara gani?

    Hii usimamizi wake ukoje? au lazima uwe sehemu hiyohiyo
Back
Top Bottom