Recent content by rashid seif

  1. R

    JamiiForums Tanzania Sehemu wanapojaza wino wa printer

    mkuu nenda mtaa wa chaga nyuma ya chefs pride hotel.i mean uani mwa hotel wapo jamaa wanajaza
  2. R

    JamiiForums Tanzania Ufugaji wa Kuku wa Kienyeji na Masoko yake

    mama timmy mimi si mgeni sana hapa jf.Huwa si comment chochote nachukuwa tu maujuzi.Ila nimeona nitoe mchango wangu kwa hili.Tafuta kinyesi cha ng'ombe cha tumboni (inabidi upate aliyechinjwa) jaza kinyesi kwenye mfuko wa rambo,funga mfuko vizuri,chimba shimo,fukia na uache kwa muda wa week 1...
  3. R

    JamiiForums Tanzania Watalaam wa Kilimo

    mr.mchomo miche unauzaje na unapatikana wapi? weka contact zako
  4. R

    JamiiForums Tanzania Peugeot 504 pick up( 1992) for sale at low price

    tupe bei mkuu
Back
Top Bottom