Recent content by Rashid Mgunda

  1. R

    Wahitimu wengi wa UDSM mna dharau na kujisikia sana lakini mna Maisha magumu

    Am sorry en forgive me if I pissed you off ila jua hata mm ni degree holder. Nahis kuna sense of missunderstanding between us , coz mm cjadharau degree ila nmeuliza what is degree ? Kwa maana iko wap thamna ya degree kwa mtu asiye na mchango wowote kwa jamii ? Hv ni kweli tunahodhi degree ili...
  2. R

    Jacqueline Wolper anatamani kumpa penzi Rais

    Hv Jokatenho ni kweli anananii na muheshimiwa mkuu wa kaya ? Sent using Jamii Forums mobile app
  3. R

    Jacqueline Wolper anatamani kumpa penzi Rais

    Hahaha Sent using Jamii Forums mobile app
  4. R

    Vituko vya Bibi Fisi: Mchawi aliyetikisa Kanda ya Ziwa

    Hao waliomuua inaonekana walikuwa wazito mno pia haipendez kuwaita majambazi mm naona tuwaite wasiojulikana . Sent using Jamii Forums mobile app
  5. R

    Wahitimu wengi wa UDSM mna dharau na kujisikia sana lakini mna Maisha magumu

    Daaah ! Aliyeturoga watanzania cjui ni nan ? Huwa nahis aibu mm ikitokea nmekutana na mtu anajivuna kisa ana degree ilihali mfumo wa maisha yake unaonesha yeye ni mental retaded . What is degree ? Maisha yanahitaj progressiveness na sio vyeti . Aslimia 80 ya wasomi wa kitanzania hawajaelimika ...
Back
Top Bottom