Recent content by Rashid Fed Chaula

  1. R

    Hivi pesa inapatikana wapi?

    Mkuu ninajiona kabisa kwa nilipofikia ninahitaji kupambania na simba. Tena mwenye njaa ili nipate pesa. Kama kwako kuna simba niunganishe naye mkuu.
  2. R

    Watu wanaofanya vizuri online hapa Tanzania, utakubaliana na ukweli kwamba wanajua sana kuhusu sales and marketing.

    Sasa mtaalamu si ndio wewe hapo boss. Nifundishe kuhusu sales and marketing. 0753538218
  3. R

    SoC04 Umuhimu na nafasi ya waandishi wa habari uthaminiwe katika kuleta mabadiliko na kuifikia Tanzania tuitakayo

    Sekta ya habari na mawasiliano ni sekta muhimu sana katika taifa lolote linalohitaji maendeleo. Kwa kuwa sekta hii inahusisha kukusanya taarifa mbalimbali,kuzichakata na kuzihariri na baadaye kuzitoa kwa watu(jamii) juu ya matukio mbalimbali. Mwandishi wa habari ni mtu anayefanya majukumu hayo...
  4. R

    SoC04 Turekebishe maeneo yafuatayo ili kushuhudia mabadiliko ya kimaendeleo Tanzania

    Kukwama na kusuasua kwa maendeleo ya Tanzania yanaweza yakawa yameshikiliwa na mambo machache ambayo kama yakibadilishwa yanaweza kuchochea mabadiliko ya kimaendeleo ya kasi sana.Nchi ni mali ya watu wote kila kiongozi na raia atambue wajibu wake na kutekeleza kikamilifu. Maamuzi magumu...
  5. R

    SoC04 Mchakato wa kitaifa ufanyike kuitengeneza Tanzania tuitakayo

    Mabadiliko yoyote ili yatokee ni lazima kuwe na mchakato maalumu wa kuleta hayo mabadiliko. Taifa ili kujikwamua kutoka hali duni kuwa taifa linaloendelea au lililopiga hatua katika nyanja mbalimbali lazima ufanyike mchakato wa maalumu wa kuleta mabadiliko yanayotakiwa. Viongozi na raia mijini...
  6. R

    SoC04 Ili kuyafikia maono ya Taifa, Serikali iwe na vipaumbele katika kutekeleza majukumu yake ya maendeleo

    Kipaumbele ni kitu kinachoweza kupendekezwa kama muhimu zaidi kukitekeleza au kukifanyia kazi mapema zaidi kuliko kingine. Vipaumbele vya serikali ni yale mambo au maeneo muhimu serikali iyazingatie zaidi hasa katika bajeti na utendaji ili yaweze kuyainua mengine. Malengo makubwa huhitaji...
  7. R

    SoC04 Kila kijana atambue wajibu wake kuwa ni mhusika mkubwa zaidi katika kuleta mabadiliko na maendeleo katika taifa

    Asante kwa kuthamini mchango wangu professor. Ninaamini utabonyeza votes hapo chini.
  8. R

    SoC04 Kila kijana atambue wajibu wake kuwa ni mhusika mkubwa zaidi katika kuleta mabadiliko na maendeleo katika taifa

    Kijana ni umri wa ukuaji wa mwanadamu unaokadiliwa ni kuanzia miaka 16-45.Huu ni umri ambao mwanadamu huwa anakuwa na uwezo zaidi wa mambo mbalimbali ukilinganisha na umri aliotoka nyuma yake yaani utoto na ule auendeao yaani uzee. (Ikumbukwe kijana inamhusisha yule wa kiume au mwanaume na wa...
Back
Top Bottom