Recent content by Rashid bin Mwinyi

  1. Rashid bin Mwinyi

    Epuka makosa haya kwenye usaili wa ajira

    Unatakiwa kutoa taarifa zako za kwa wahusika wa usaili kabla ya kuhudhuria kwenye usaili wa oral ukijua tu umchaguliwa kuhudhuria usaili. Hii itapelekea wahusika kukuandalia mazingira mazuri kutoka na hali uliyonayo. Natumai kuwa umenielewa
  2. Rashid bin Mwinyi

    Epuka makosa haya kwenye usaili wa ajira

    Ila nakala nyengine nitaendelea kuzipost kwa lugha ya Kiengereza
  3. Rashid bin Mwinyi

    Epuka makosa haya kwenye usaili wa ajira

    Nilizingatia ombi lako la kutumia lugha ya kiswahili
  4. Rashid bin Mwinyi

    Epuka makosa haya kwenye usaili wa ajira

    Kwa ufupi Mahojiano haya maarufu kwa jina la usaili wa ajira, yanaweza kufanywa kwa mazungumzo ya ana kwa ana au hata kwa maandishi kupitia taratibu kama mitihani. By Elizabeth Edward, Mwananchi Taratibu za utoaji ajira katika ofisi nyingi zinajumuisha mambo kadhaa ikiwamo kuwafanyia mahojiano...
  5. Rashid bin Mwinyi

    HOW TO ACHIEVE YOUR GOALS

    Hahaha kawaida tu
  6. Rashid bin Mwinyi

    HOW TO ACHIEVE YOUR GOALS

    Set Goals First list down all the goals that you want to accomplish. If you are not sure what you want in life, you are just bound to receive the unexpected. Nevertheless, bear in mind that goals should always be sensible and should be accomplishable. Setting unrealistic goals are of no use...
  7. Rashid bin Mwinyi

    How to become smarter

    Frankly speaking, there are so many articles in the internet to read depend up on your interest. There are even different applications that you can use them to read.
  8. Rashid bin Mwinyi

    How to become smarter

    Good. I found something good on it that is why I decided to share with you.
  9. Rashid bin Mwinyi

    How to become smarter

    HOW TO BECOME SMARTER Exercise Your Brain Just like you workout to build and strengthen your muscles, your brain, too, requires proper exercises to sharpen itself. Often, it is assumed to be a useless body part, but this is not true. As such, whenever you are engaging yourself in some...
  10. Rashid bin Mwinyi

    Sauti ya Ujerumani ifungiwe matangazo yake Tanzania

    Inavosemekana hukusikiliza uzuri hiyo press ya Maalim Seif.. alichokisema yy ni kuwa mpaka sasa anaongoza kwa kura hivo anaitaka tume itangaze matokeo kama yalivyo na pia rais Jakaya Kikwete asimamie hilo.. Je pana kosa gani hapo?
Back
Top Bottom