Recent content by RASHID ATHUMAN MSIRI

  1. R

    SoC04 Mikopo ya halmashauri kwa wanawake ,vijana na watu wenye ulemavu bado haitoshi

    Jambo la utoaji wa mikopo kwa wajasiriamali wadogo ambao wengi wao ni wanawake vijana na watu wenye ulemavu bado haitoshi kwa kiasi kikubwa. Ili kupata Tanzania bora tunayohitaji lazima serikali iangalie kwa kiasi kikubwa juu ya kutafuta njia mbadala ya kuweza kuwawezesha watu wengi zaidi...
  2. R

    SoC04 Uwekezaji kwenye sanaa na michezo kupunguza wimbi la tatizo la ajira

    Sanaa kwa kiasi kikubwa katika ukanda wetu wa bala la Africa kwa kiasi kikubwa imeanza kuwa sekta rasmi ambayo kama itawekewa mkazo kwa kiasi kikubwa sana inaweza kutoa ajira kwa watu wengi sana kwani cheni ya ajira kwenye sanaa ni kubwa sana kuanzia kwenye chimbuko ambalo ni kipaji cha mtu...
  3. R

    Hivi kwenye ujinga kuna elimu?

    Kuna wakati binadamu inabidi tusikilize ujinga ile tuweze kunga'mua kilichofanyika na wengine kuwa ni ujinga ila usipo sikiliza huo ujinga hutoweza kuujua ujinga muda mwingine inabidi tusiupuzie ujinga . Sio lazima ukubaliane na mimi ila waza mwenyewe.
  4. R

    Changamoto ya kutuma Maombi ya Ajira Jeshi la Polisi

    Hivi mfumo wa kutuma maombi ya ajira jeshi la polisi ni kwangu tuu unasumbua ama na wengine mmekutana na changamoto hii?
  5. R

    Uchoraji holela wa tattoo unaweza kusababisha maambukizo ya UKIMWI?

    Uchoraji wa tattoo ni sanaa iliyokuwepo katika eneo la uso wa dunia miaka mingi iliyopita ila sanaa hiyo imeendelea kukua hivi sasa kwa kiasi kikubwa baada ya ongezeko la asilimia kubwa ya watu kuvutiwa na sanaa hiyo huku wengi wao wakiwa na nia ya kuonesha upendo kwa ndugu, marafiki na ndugu...
  6. R

    SoC04 Hakuna Tanzania Bora bila ya kizazi bora

    Kwa kiasi kikubwa haiwezi kupingika ya kuwa ili tuwe na Tanzania bora tunayohitaji lazima tuweke nguvu kubwa katika swala zima la malezi ya watoto na vijana kwani wao kwa kiasi kikubwa ndio wanaongoza katika suala zima la ujengaji wa nchi. Kama Tanzania ili tuendelee kuwa na nchi nzuri na...
  7. R

    Uko tayari kumchagua tena huyo Mbunge wako 2025?

    Siasa imekuwa na mambo ambayo kwa kiasi fulani yamekuwa hayaelezeki kwa urahisi. Kuna kipindi ambacho wanasiasa huwa wanakuja na ahadi nyingi kwa wananchi wakati wa kampeni ila wanapopata nafasi hizo za uongozi kuna kuwa na daraja kubwa kati ya kiongozi na wananchi katika utekelezaji wa ahadi...
  8. R

    Ni kwa namna gani teknolojia imeathiri biashara ya maduka ya viandikia (Stationery)

    Muda mrefu duniani imekuwa ikipita mabadiliko makubwa ya teknolojia kutoka mapinduzi ya mwanzo ya viwanda mpaka sasa kuelekea mapinduzi mapya ya viwanda ambayo yanaelekea kuja na taswira mpya na aina mpya ya uwekezaji hususani kwa sasa teknolojia inayozungumzwa ni teknolojia ya akili bandia (...
  9. R

    Je, mfumo wa kupata viongozi ni sahihi?

    Tanzania Tunayoitaka na Viongozi Wabeba Maono Ni sawa? Jua linapochomoza huwa na hali ya utulivu na pambazuko lenye kuvutia ila kila linapozidi kutoka huwa na hali tofauti na mazingira hali ambayo kuna wakati wanadamu hushindwa kuivumilia na kutoa maongezi tofauti na yale ya mwanzo waliyokuwa...
Back
Top Bottom