Habar zenu wana jf,naomben Masaada wa maelekezo namna ya kuboost network coz huku ninakoish mtandao wa internet ni shida kidogo haipatikan hata 3G,lakn nikiwa seburen naipata 3G na inafuction kwa kias lakn nikitoka hatua 1 tu kutoka pale inapoteza mtandao na kubak haruf E.tafadhalini wandugu...
Habar zenu wana jf, mm ni mshamba naweza sema hvyo, ninakicmu changu tecno w4 nataka weka font ila kila nikijarbu inagoma inasema inataka root so cjui inakuwaje wanajf naomb msaada jaman
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.