Recent content by rasaa

  1. R

    JamiiForums Tanzania Kuwekwa kwa somo ya Kiislamu kwenye Tahasusi kunaashiria nini?

    Na sijui kwa nini mnauchukia uislamu mbona sisi hatuwachukii nyinyi.
  2. R

    JamiiForums Tanzania Sababu ya Waziri Bashe kukataa msaada wa mchele wa Wamarekani: Je, ni uwepo wa virutubisho, kutokuwa na utapiamlo nchini au hatuna shida ya mchele?

    Walete msaada mwingine lakini si kwa namna hiyo kwani chakula tunacho cha kutosha na hatujawaomba msaada wa namna hiyo. Waziri kafanya jambo zuri kuukataa msaada huyo . Wasije wakatuchanganyia na virutubisho vya ushoga.
  3. R

    JamiiForums Tanzania Kama ibilisi alishindikana huko mbinguni ndo akatupwa huku Duniani basi binadamu tumeonewa maana hatumuwezi

    Tatizo ni MTAZAMO. Jaribu kubadili Mtazamo wako uwe chanya utashinda.
  4. R

    JamiiForums Tanzania Dkt. Koboko tosheka na majukumu ya Udaktari, mwache Mfamasia kwenye eneo lake la madawa

    Unatakiwa uelewe pia mfamasia haruhusiwi kumpa mgonjwa dawa bila cheti cha daktari. Lakini imekuwa ni kasumba ya wafamasia wengi kutoa dawa bila prescriptions toka kwa daktari jambo ambalo ni makosa kiafya na kitaaluma. Rai kuu ya Koboko ni Mfamasia hapaswi kutoa dawa moja kwa moja Kwa mgonjwa...
  5. R

    JamiiForums Tanzania Usilogwe ukaondoka nyumbani na kwenda usipopajua kwa kigezo cha kutafuta maisha

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
  6. R

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa Quora unawezekana ukawa sababu ya wakristo wengi wa Ulaya kusilimu na kuwa Waislamu

    Kwa hiyo hofu yao ni kuenea kwa Uislam au? Na kama ni hivyo wanaogopa nini ?
  7. R

    JamiiForums Tanzania Nigeria: Wanafunzi Waislamu wamuua kwa mawe mwanafunzi mwenzao wakimtuhumu kumkashifu Mtume Muhammad

    Sio Kila lifanywalo na Muislam ni sahihi katika uislam. Jifunze kutofautisha kati ya mtu anaitwa Muislam na Uislam. Uislamu ni dini sahihi Kwa watu sahihi, si Kila litendwalo na mtu anaeitwa Muislam ni Uislam.
Back
Top Bottom