Mkuu hilo tatizo lipo kwa halmashauri nyingi ila kiukweli kabisa unatakiwa ukisha report ujaze form zao ili uwekwe kwenye LAWSON then uombe siku 14 za kujiandaa urudi kazini na mara nyingi halmashauri zinatoa pesa ya kujikimu ukiwa umerudi baada ya zile siku 14
Ushauri wangu jitahidi...
Tukisema hivyo pia tuangalie upande mwingine mkuu tulifanya pepar ya NAO na tuliitwa oral zaidi ya 300 nafasi zilikua 100 tu lakini tulijiuliza mbona watu wengi sana na nafasi hizi kumbe UTUMISHI waliamua hivyo kumbe kulikua na nafasi za wizara ya fedha na wilayani lakini watu hawakujua nahisi...
Kwanza mkuu ishu ya GPA ondoa kabisa na mtu asitegemee kama ana 1st class yake atapata kazi kirahisi kwani GPA ngapi za vyuo tofauti tunajua zinatoka tu kiholela holela mimi hapa nawapongeza sana UTUMISHI ita wote wenye degree hakuna cha GPA wala nini then wapambanishe kwenye interview uone nani...
Mkuu siyo lazima ukiwa kwenye database ya Utumishi unapata kazi coz database yao ni within 6months kama haijatokea nafasi kwenye hiyo kada database inafutwa na kuanza upya ila tu chamsingi ni kukomaa sana upate tu maana wote wenye 50% and above wanakaa kwenye database sasa huwezi jua kama mko...
Hilo ni kweli mkuu ila kwaupande mwingine nahisi kama nikosa na candidates coz always utumishi maswali yao kwenye oral yanafanana kwa nyote mnaofanya oral wakati ule kwenye kada husika inategemea na jopo lako ulilopangiwa na ndio maana wana chukua simu na kuzizima ili mtu ukishatoka kwenye...
Nenda UTUMISHI 2nd floor pale utaipata kuna wakati flani niliifuata yangu nlimuuliza sister mmoja pale akaniambia hawazipeleki posta kwanza kwasababu candidates ni wasumbufu ukituma posta wanazifuata pale ndio maana wanaanza pale then wana peleka posta kwahiyo mkuu ifuate pale tu bora...
kuomba tutaomba hatukomi ila kwenye jambo lazima tujadili zile nafasi za majuzi vipi wadau (bank officers) au ndiyo funika kombe mwanaharamu apite wameshapeana!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.