Recent content by raphasillah

  1. R

    JamiiForums Tanzania Takwimu za maambukizi ya VVU hizi hapa , Iringa na Njombe sio sehemu salama kabisa kucheza peku

    Mikoa ya lazima kwa tohara za wanaume asilimia ni ndogo kwa kuwa tafiti zinathibitisha mwanaume kutahiliwa ni kinga kwa asilimia 30%
  2. R

    JamiiForums Tanzania Pengo: Kauli ya Askofu Niwemugizi (kwamba Katiba Mpya ndiyo kipaumbele cha wananchi) siyo msimamo wa Kanisa Katoliki

    Tusubiri atakavyoambiwa na Gwajima, kunyamaza pia ni hekima.
  3. R

    JamiiForums Tanzania Habari Njema kuhusu Tundu Lissu: Atoka chumba cha upasuaji akiwa vema

    Mungu mwema aendelee kurejesha afya yake, Mungu huwasikia watu wake wanapomlilia, asante kwa habari njema Sent using Jamii Forums mobile app
  4. R

    JamiiForums Tanzania Darasa la Prof. Kabudi Halikuwa la Lazima!

    Ninachokiamini si kweli wote Walikuwa wanajua alichokisema prof. Kabudi, kwahiyo kama unayajua alivyosema ni vema akawapa fursa wasiojua wajifunze, unachokijua wewe si wote wanajua, sioni kwanini iwe hoja, mbona wabunge walimsikiliza tena kwa makini?
  5. R

    JamiiForums Tanzania Shemeji yetu kwa Flora Mbasha huyu hapa

    Anatakiwa kufanyiwa maombi ili asirudie kosa, pia ajitambue na kuitambua huduma yake
Back
Top Bottom