Stunner Marangi ni music producer toka Dodoma Tanzania anae tengeneza muziki aina ya Electronic Dance Music. Jifunze siri juu ya uwezo wake na tips za production bure yani free of charge. Mtafute WhatsApp +255717343790 kwa maelekezo zaidi au maswali kuhusiana na uwezo wake.
Waweza mcheki...
Kwa jina naitwa Raphael am 19, ni producer wa muziki wa EDM kutoka Dodoma kwa miaka almost 4. Swali langu ni, je kuna maproducer wa EDM specifically katika kanda ya East Aftica? Na mnahimizaje muziki huu katika society yako.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.