Recent content by Raphael Richard

  1. Raphael Richard

    JamiiForums Tanzania Maswali tata kuhusu utekwaji na upatikanaji wa Mohamed Dewji MO

    Hawa tasnia ya filam mmeenda likizo?hii filam ya MO haina ubora msiiiruhusu ingie sokoni. Sent from my E6833 using JamiiForums mobile app
  2. Raphael Richard

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Isaac Muyenjwa Nyagabona Gamba afariki dunia

    R I P issack gamba
  3. Raphael Richard

    JamiiForums Tanzania Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

    Si wamesema ametekwa na wazungu au wewe hujasikia?
  4. Raphael Richard

    JamiiForums Tanzania Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

    Watu wasio julikana sasa hivi wanaitwa wazungu mwisho wa siku wanaitwa albino.
  5. Raphael Richard

    JamiiForums Tanzania Dar: Mfanyabiashara Mohamed Dewji(Mo Dewji) atekwa na watu wasiojulikana maeneo ya Oysterbay

    Pengine hili ni picha ngoja tuone mwisho wake. Sent from my E6833 using JamiiForums mobile app
  6. Raphael Richard

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kupika kabichi pekee na yenye mchanganyiko na mboga za aina nyingine

    Ukikosa cha kupost kaa kimya kama mkeo hajui kupika mpleke shule Sent from my E6833 using JamiiForums mobile app
  7. Raphael Richard

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli anzisha mchakato wa katiba mpya

    Namba 3 chungu ndio maana danadana nyingi
  8. Raphael Richard

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli anzisha mchakato wa katiba mpya

    Mnao kumbatia katiba iliopo sasa mna maslahi binafsi na sio wazalendo wa nchi hii.
  9. Raphael Richard

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021

    Haya yote mwananchi wa kijijini ambae barabara anayotumia haipitiki yatamsaidiaje?
  10. Raphael Richard

    JamiiForums Tanzania Mafanikio ya Rais Magufuli 2015 - 2021

    Wa tz mtajiju
Back
Top Bottom