Recent content by raphael linkala

  1. raphael linkala

    Mrejesho: Mke wangu hapendi kuongozana na mimi barabarani

    Wadau nawasalimu, Nashukuru kwa ushauri mlionipa jana kwenye habari hii yahttp://www.jamiiforums.com/threads/mke-wangu-hapendi-kuongozana-na-mimi-barabarani.994983/#post-15025211 kwa tatizo langu, wengi mliniuliza maswali sikuweza kujibu kwa sababu zilizokua nje ya uwezo, hata hivyo kwa mawazo...
  2. raphael linkala

    Mke wangu hapendi kuongozana na mimi barabarani

    Wadau heri ya mwaka mpya, Wife amekuwa hapendi kuongozana nami katika safari mbali mbali misiba, sherehe, outing na kadhalika, sio kwamba anakataa moja kwa moja bali atatafuta sababu ili twende tofauti, na akikubali kwenda anakuwa uncomfortable na uwepo wangu. Mwezi uliopita wa 12 tulisafiri...
Back
Top Bottom