Recent content by Raphael kajange

  1. R

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Rais Samia Suluhu Hassan atakuwa shahidi wangu apelekewe barua ya wito

    Duu mbona kama Upande wa jamahuri mawakili wanahitaji kuizungusha sana hii kesi, na ukiangalia kwa mazingira ya mashahidi kesi haipo,why useme mashahidi hawaweezi kupelekewa taarifa??
  2. R

    JamiiForums Tanzania KERO Milipuko ya mwekezaji kupasua mawe Mtaa wa Makutano – Sumbawanga unatukwaza Wakazi wa hapo

    Viongozi kuanzia ngazi ya Serikali ya Mtaa wa makutano n.k wafuatilie hili ili kuwakomboa wananchi kuepukana na kadhia hiyo. Yatengwe maeneo maalumu kwa ajili ya shughuli kama hizo kwa sababu wawekezaji ni chachu ya ajira
  3. R

    JamiiForums Tanzania KERO Responded Sera ya NSSF kuondoa Fao la Kujitoa INAUA NDOTO ZA VIJANA KUJIAJIRI – Irejeshwe

    Andiko adhimu na la kuelewa sana hili,Serikali kuja sera kabla hawajaleta bungeni tuzifikirie kwanza,hii sera ya fao la kujitoa NSSF iwekewe mkazo kwa sekta ya umma,huku sekta binafsi hususani viwandani kiukweli kuna madhara mengi,kwa hiyo kijana anafanya kazi kwa malengo ya muda mfupi ili...
Back
Top Bottom