Recent content by Raphael Kahawa Msoffe

  1. R

    JamiiForums Tanzania Msaada Software ya Incotex 500F

    Msaada mwenye software ya machine ya Incotex 500f
  2. R

    JamiiForums Tanzania Arusha: Mahakama yatupilia mbali rufaa ya mawakili wa serikali kwenye kesi ya Lema

    Kama una chuki binafsi usicomment chochote kwenye hii taarifa,maana kama hujui maana kamwe huwezi ijua maana hata ukiambiwa maana,kila mtu ana haki na hupatikana mahakamani na wala sio ktk vijiwe na vibaraza vya nyumba za kupanga,mungu amjalie aweze kupata dhamana
  3. R

    JamiiForums Tanzania UVCCM: Maandamano ya kumuunga mkono Makonda ni lini?

    Toa maoni yako na wala sio kuzungumzia mtu
  4. R

    JamiiForums Tanzania Upinzani Wa namna hii hakuna tija kwa taifa letu

    Kila siku siasa??? Ziwe basi siasa safii
  5. R

    JamiiForums Tanzania Upinzani Wa namna hii hakuna tija kwa taifa letu

    Hatuchoki kuongea siasa ??
  6. R

    JamiiForums Tanzania Lissu afunguka kasoro alizofanya RC Makonda

    Wengine wenu mnaochangia mna IQ ndogo sana
  7. R

    JamiiForums Tanzania Kitendo cha kumchanganya Pengo na madawa ni cha hatari

    Nahisi baadhi ya wachangia wanapenda magumzo ya vijiweni, nimejaribu kufatilia comment mbalimbali hasa za madawa, lakini sijaona comment ambayo inaelezea uhalisia wa mada husika, zaidi sana ni watu wanatoa comment Za mabishano ambazo nyingi zimejikita katika itikadi za kisiasa, na kidini. Hebu...
Back
Top Bottom