Wapinzania Tanzania sijui walisomea wapi siasa!! Maana wamejaa hila ndani mwao!! Ni wanafiki sana!! Wanaweza kusema huyu ni fisadi hafai kesho wanageuka wanasema huyu si fisadi!! Wanawezavkusema hili halifai kesho wanasema linafaa!! Hawasa siasa za kistarabu kabisa wao nikuviziana tu!! Mfano hii hapa chini!!
1.kwa miaka 8 kwanzia 2008 mpaka 2015 walimsakama sana mh Lowassa kuwa ni fisadi!! Lakini shida yao hasa nahisi ilikuwa wivu kuwa akigombea CCM atashinda na CCM haitaondoka madarakani!! Wao walifikiri akiri zao ni kama za CCM wasijue kuwa CCM ina mtaji Wa watu wengi!!
CCM wakona isiwe shida wakajivua gamba na kumtema Lowassa yamkini kwa makosa Yake au kwa sababa za kelele nyingi za wapinzani!! Utafikiri kama kelele za mbweha au chura wakati wamasika!!
Ilikuwa ni mshangao mkubwa kwa watanzania na dunia kwa ujumla kuona wapinzani kumchukua waliopaka kkila aina ya uchafu na kumfanya mgombea wao Wa urais!! Walifikri watanzania ni majuha kiasi hicho mpaka kuchezewa vile!!
2.katika bunge kwa muda mrefu wapinzani walipiga makelele kama mbeha eti CCM wanalindana !! MTU akifanya maovu analindwa na kuhamishiwa kwengine au idara nyingine! Safari za nje ni nyingi na hazina tija kwa taifa!!rais aliyekuwepo ni legelege( JK).
CCM kwa sababu ni sikivu na INA mitaji mingi ikasema isiwe nongwa! Wamemleta rais mkali na wala siyo dikteta kama upinzani uchwara unavyosema!!
Sasa wapinzani kama kawaida yao na makelele kama ya chura wanasema eti rais katili!! Mara diktete mara anavunja katiba!! Hivi nyie mlijifunzia wapi siasa??
Wanafiki nyie kabisa!! Hivi mlifaulu political siansi kweli!! Lakini sishangai sana !! Mnamchukuw Katibu daktari tena anesthesiologist mnafikiri atakuka kuwafanyia lumbar puncher au Ku Wa intubate watanzania ndo upinzani uingie ikulu??
3.jamani nasikitika sana kusikia eti TL naye wanataka au rais w TLS !!! Kwa muda mrefu wapinzani mlipiga kelele kuwa madawa ya kulevya ni shida mpaka mkawataja makada wakubwa Wa CCM !! Mlivuka mipaka mpaka kuwataja watoto wa wakubwa na pengine viongozi wa nchi!! Juzi RC Makonda kawataja watumiaji wa dawa za kulevya!!
Nyie mabingwa wa fitina na makelele mkasema anawataja vidagaa!! Lisu akasema kuwataja vidagaa na kuwaacha nyangumi ni mambo ya ovyo kabisa yanayofanywa na CCM!! Makonda akaona isiwe nongwa!! Kawataja manyangumi akiwemo mbowe!! Lalalaaaaa!!
Makelele kama ya mbweha yakaanza!!Mara ametuvunjia heshima!! Mara hana mamlaka ya kutaja watu au Kuwaita! Duuh!!! Hivi nyie tuwaeleweje?lakini sisi watanzania wa hali ya chini tumewaelewa sana tu!! Mfano ni katika uchaguzi mdogo uliyopita wa mbunge na madiwani!!! Mlipata kura moja kati ya 22!! Na bado 2020!! Mtachapwa na wanyonge watanzania!!
Acheni unafiki!! Acheni siasa za kuviziana!! Acheni tamaa !! Ikulu hapaingiwi kwa unafiki na kuhadaa wa nyonge!! Kumbukeni wosia wa baba wa taifa!! Ikulu ni mahara patakatifu!! Wanafiki ,walagai, wezi, wanywa viroba, wauza madawa ya kulevya mafisadi hawaingii white house!!