Recent content by ranjit kumar

  1. R

    JamiiForums Sijawahi kupanda ndege, Mambo gani ya muhimu ya kuzingatia ukisafiri na ndege kwa mara ya kwanza?

    sisi wazee wa cheapest flights swala la 3 stops ni swala la kuvutia kabisa (yani fesh tu,tutafanyeje sasa ndo uwezo umeruhusu hivyo), wazee wa best deals mambo ya kusimama simama kukaa sjui 8 hrs unaconnect flight hawatakagi kusikia, mtu unatoka tu hapo johannesburg kuja dar lkn una stop 3...
  2. R

    JamiiForums Diaspora Germany, Maisha yakoje

    kwani mwendokasi sio daladala?
Back
Top Bottom