ranjit kumar
New Member
- Jun 8, 2017
- 2
- 1
sisi wazee wa cheapest flights swala la 3 stops ni swala la kuvutia kabisa (yani fesh tu,tutafanyeje sasa ndo uwezo umeruhusu hivyo), wazee wa best deals mambo ya kusimama simama kukaa sjui 8 hrs unaconnect flight hawatakagi kusikia, mtu unatoka tu hapo johannesburg kuja dar lkn una stop 3, johannesburg to lusaka, lusaka to kigali, kigali to kilimamnjaro, kilimanjaro to dsm. safari ya masaa matatu tu na dk zake mtu unatumia masaa 15+ (flying + connecting time)Jamani kubadili ndege mara 3 kwenda nchi fulani mbona Jambo la kawaida Sana, wala hakuna cha ajabu hapo. But inabidi uwe mzoefu wa safari za ndege.
Mfano Mimi nafanya kazi Saudi Arabia, maeneo yanaitwa Duba ni karibu kidogo na Jordan na Israel. Nikipanda ndege bongo naanzia Qatar, Bahrain or Dubai kutegemea na ndege gani. Hapo napanda ndege ingine mpaka Jeddah. Halafu napanda ingine mpaka Tarbuk. Hapo nachukuliwa na usafiri wagari kama km 200 hivi mpaka kituo cha kazi.
So sioni ajabu ya kupanda ndege 3 hio IPO tena Sana Tu.
Sent from my VIE-L09 using JamiiForums mobile app