Recent content by Rangoz

  1. R

    Uteuzi wa Kingunge Ngombare Mwiru kwenye bunge la katiba ni dhihaka kwa watanzania

    Huyu kingunge kwanza afya yake mgogoro kwa uzee hiv kwel ataweza kukaa muda wote wa bunge akiwa imara kufatilia mambo na hoja imara za kulipeleka taifa hatua nyingine ya kupata katiba mpya? Ni afadhali angepewa ile shuhuli yake ya awali ya"MSHAURI WA RAIS" kuliko ktka bunge la katiba. Hata hao...
  2. R

    Kuishi Mbezi Kimara ni laana?

    Tangu saa mbili asubuh leo nipo hapa mbez kituon hamna daladala inayokuja kwenda mjin na ikija inapitia njia ya goba nauli sh.2000. Namuunga mkono mtoa mada Lorin kwamba kukaa mbezi kimara ni laana tena laana kumu. Mbezi ukiwa kapuku kama mimi mji unazidi kuuona mchungu maanake licha ya kero...
Back
Top Bottom