kuna kiongozi amesema ushuru huo ni kwa ajili ya kupeleka umeme vijijini. Hii ni sawa na kumlazimisha mgeni aliyekutembelea akupe alichonacho upike halafu ukadai umemkirimu wakati rasilimali yako binafsi umenywea pombe (kusamehe kodi).
Hodihodi wenyeji. Naomba mnikubali maana kwa masikio na macho sijambo.Tatizo langu kinywa kizito. Ila inapolazimika KU- PINPOINT kasoro huwa sichelei muhusika.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.